Ariel sharon yupo hai? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ariel sharon yupo hai?

Discussion in 'International Forum' started by braza makaptula, May 11, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. b

  braza makaptula Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF; Waziri mkuu wa zamani wa Israel Nd. Sharon alipata stroke na kupelekea kuuachia Uwaziri, aliendelea kupata stroke akiwa hospitali na kuwa kwenye Koma kwa muda mrefu, lakini ni miaka mingi sasa imepita hakuna taarifa zinazotolewa kuhusu afya yake au alishaaga dunia?
  naomba mwenye taarifa atujuze
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hajafa, bado anapumua kwa mashine. Kwa lugha ya kitaaluma yupo katika hali ya "persistive vegatative state". Amefikisha miaka 84!

   
 3. d

  dav22 JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmh wazungu nao bwana noma
   
 4. b

  braza makaptula Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa mkuu
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,782
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Laana mbaya sana kwani ndio huyu alietoa lugha au aliekua na dhamira ya kuwafuta wa PALESTINA wote bila kujua MUNGU ndie aliewaumba hao aw Palestina sasa amekua akiadhirika kwa miaka mingi..huo ni ushaidi tosha kua Mungu yupo na atatatetea haki za wanyonge,wachache cha msingi wamtambue kua hakuna km yeye
   
 6. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Yupo hai lakini in COMA ni mwaka wa nne au tano sasa....Sijui inawasaidia nini kumweka mtu kama huyu kwenye mashine muda wote huu? Hhahhaha labda wanasubiri siku Yesu akirudi mara ya pili amkute yupo hai na si mfu.
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Makafiri hutamani kuishi milele !
  " Yawaje basi itakapofika roho kwenye koo, na nyinyi wakati huo mnatazama ! Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. Lau nyinyi ham'mo katika mamlaka yangu, kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli ? Qur'an; 56: 83-87.
  Hapo chachaa !????
   
 8. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Je na huyu rais Ahmed Ahmedinejad wa Iran naye atapata laana gani toka kwa MUNGU kwa kuwa toka ameingia madarakani amekuwa akitoa kauli za kufuta taifa la Israel, au MUNGU anaemwamini yeye siye aliyewaumba wayahudi wa Israel???
   
 9. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Je, amekwisha futa wayahudi wangapi mpaka sasa !? Kumbuka Iran ndio nchi yenye Wayahudi wengi duniani ! Pia kumbuka a.k.a ya Ariel Sharon ni " Bulldozer " kwa kuuwa Wapestina !
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mbona wengi walio kuwa hai kama Khadafi wamesha kwenda kwa Mnyaazi Mungu! Sasa nani kalaaniwa, aliye limwa kwa mtutu au ambaye anaishi? Acheni maskahara. :israel:
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hivi unafikiri hapa duniani kuna mtu anajali Mapalestina? Hao Mapalestina wamekuwa wakichapwa Bakora na Myahudi kila mwaka, wapi umoja wa Arabu? Huoni wanakumbuka kipigo cha Six day War. Kamwe hawata sahau mpaka kihama.

  Mungu ibariki Israel wa endelee kuwapa kibano Palestina.
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Najuwa unajipendekeza kwao kwakuwa Mungu wako wao wanamwita 'Mjomba' !
   
 13. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  M'Mungu anasema 'roho yake iko kooni' ! Irudisheni sasa kama nyinyi ni wajuaji !
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,780
  Likes Received: 83,133
  Trophy Points: 280
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Israel ni taifa teule la Mungu Yehova Yire, amini usiamini, ila, hakuna atakaeweza kulifuta kwenye uso wa dunia taifa la Israel. Kuilaani Israel ni kujiombea laana, na kuibariki Israel ni kujihakikishia baraka.
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndo maana nimekwambia Mungu wako, wao wanamwita Mjomba, wengine Kaka, wengine Binamu !
  Sasa Mungu aliamua kukateuwa kataifa kamoja tuu, halafu mengine akayaacha hayana Mwenyewe ! Yapo yapo tuu ! Sasa sie huku tunaripoti kwa nani !?
  Halafu hawa walimpiga na kumuua Mungu (imagine !) tena Mungu huyo huyo kawateuwa !!
  Aaaaaaah ! Acheni sarakasi bana !
   
 17. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  roho ikiwa kooni utaiona?utafahm vipi?mambo ya kupewa vitu usivyojua mapangoni na mashetani usilete hapa

  NAZANI HUYO DOGO ALIYEZUNGUMZA HAJUI MAMBO-SIJUI KAMA AHMEDNEJAD NA AYATOLLAH HATA ANAWAFAHAMUM AU ASHAWAHI KUWASIKIA
  ASKarikanzu kaeleza juu hapo-hio hali inajulikana pia kama permanent negative state,coz hawez kurudi kwenye normal state-labda miracle itokee-ila kuna part za mwili wake zikisaidiwa na mashines zipo active
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ni nani aliyekwambia IRAN ndo yenye wayahud wengi duniani?unataka kuleta "hadith"unazofundishwa hapa?
  tafuta sehem nyingine ya kudanganya si hapa-soma hapa
  Jews statistics - countries compared - NationMaster
  Jewish population - Wikipedia, the free encyclopedia

  HIZO HADITH ZAKO MKAFUNDISHANE HUKOHUKO
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  May 12, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndo 'roho' iko kooni hapo ! Hairudi wala haitoki ! Allah SW anakuchallenge kuwa fanya 'mambo' anyanyuke kama wewe unajuwa kweli ! Rudia tena: "Quran;56 :83-87.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KWELI Mzee huyu alikuwa akitekeleza matakwa ya Israel vizuri lakini mwishoni akapagawa na roho ya kuasi kanuni za taifa takatifu kwani alikuwa na plan ya kutoa uhuru kamili kwa wapalestina ndipo Mungu akamute.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...