Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Daaah ! Hivyo eeeeh ! Angeendelea kuua, Mungu wa taifa takatifu angempa umri wa Miaka elfu moja kama Nuhu eeeh !KWELI Mzee huyu alikuwa akitekeleza matakwa ya Israel vizuri lakini mwishoni akapagawa na roho ya kuasi kanuni za taifa takatifu kwani alikuwa na plan ya kutoa uhuru kamili kwa wapalestina ndipo Mungu akamute.