Amekaa kwenye coma miaka saba,then wiki mbili zilizopita hali ikaanza kwenda mrama baada ya organ ndani ya mwili kuanza kufail.
Lilianza kufaili ini,na ndipo walipoanza kutangaza kwamba hali yake imekua tete,kisha juzi hapa figo zikafail,na hilo huwa halina ujanja now he is dead.