Argi+ tiba halisi

Argi+ tiba halisi

amon jason

Senior Member
Joined
May 13, 2013
Posts
125
Reaction score
4
huwezi amini hii ni tiba HALISI itakayoweza kutibu NA kukukinga NA mambo yafuatayo.
kuzuia hormones za UZEE

tiba NA kinga madhubuti ya KISUKARI

kuondoa cholesterol mwilini

kurekebisha matatizo ya KISUKARI

kuondoa sumu zote mwilini.

KUIMARISHA MISULI NA mifupa ya mwili. NA kuondoa mafuta mwilini.

kuongeza mzunguko mkubwa wa damu mwilini.

kuboresha maumbile NA kuongeza vyema NGUVU za KIUME.

KUIMARISHA vishipa vya mwili.

ni tiba ya PRESHA ya kupanda NA kushuka.

kuongeza kinga ya mwili dhidi ya mashambulizi ya magonjwa nyemelezi.

NA pia kuboresha afya ya ngozi.

kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba 0713507487.
0767507487
0782898210. KARIBU TUZUNGUMZE.
 
Mkuu naona matangazo ya magazeti ya UDAKU yamehamia humu, kwa akili za kawaida tu, tangu lini DAWA moja ikatibu magongwa zaidi ya ishirini!!!! Hata PANADOL ni analgesic drug tu i.e inakufanya husi sikie maumivu - ni painkiller lakini siyo kwamba inatibu magonjwa inakuondolea maumivu tu- sasa dawa ya CURE ALL imevumbuliwa lini nchini mwetu?
 
"KUIMARISHA MISULI NA mifupa ya mwili. NA kuondoa mafuta mwilini."
hili nililitegemea sana....
ila
"kuzuia hormones za UZEE"....hapa naona sasa tumeanza kama kuonanan wajinga.
kuzuia uzee???
halafu hua nashindwa kuelewa kitu kimoja....hiviinakuaje dawa moja itibu magonjwa tofauti yasiyo
kua hata na ukaribu??
eti presha ya kupanda na kushuka halaf dawa hyohyo itibu na nguvu za kiume na kuboresha maumbile!
 
Argi+tiba halisi.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368904550541.jpg
    uploadfromtaptalk1368904550541.jpg
    6.7 KB · Views: 98
ni kinga bora kwa waathirika wa HIV huweza kuzalisha cd4.
 
Back
Top Bottom