G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 861
- 1,495
Mama Faiza shikamoo, kitambo kweli kweli natamani japo kusikia maoni yako juu ya Rais wetu mwanamke mwenzio katika mwenendo wa uongozi wake generallyTatizo la kanisa ni dunia nzima mpaka Umoja wa Mataifa imepiga kelele.
Mpaka Rais wa Ufilipino ikabidi afunguke alivyofanyiwa utotoni shule ya kanisa, ikamfaya alichukie kanisa.
Kama hiyo haitoshi, kuna mtu Tanzania katoa siri ya Fathee Kit Cunningham na wenzake wamewalawiti/lawitiwa na wanafunzi wote wa shulle St Francis.
Unayajuwa hayo, au unataka ushahidi?