Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

Tatizo la kanisa ni dunia nzima mpaka Umoja wa Mataifa imepiga kelele.

Mpaka Rais wa Ufilipino ikabidi afunguke alivyofanyiwa utotoni shule ya kanisa, ikamfaya alichukie kanisa.

Kama hiyo haitoshi, kuna mtu Tanzania katoa siri ya Fathee Kit Cunningham na wenzake wamewalawiti/lawitiwa na wanafunzi wote wa shulle St Francis.

Unayajuwa hayo, au unataka ushahidi?
Mama Faiza shikamoo, kitambo kweli kweli natamani japo kusikia maoni yako juu ya Rais wetu mwanamke mwenzio katika mwenendo wa uongozi wake generally
 
Kinachofanya hizi habari zienee sana elewa Kanisa Catholic ni taasisi pana inayohusu mataifa yote tofauti na uislam au madhehebu mengine (na ni vizuri zienee ili watu waovu wazidi kujulikana),mara ngapi tunasikia watoto kulawitiwa madrassa!unataka uthibitisho?

Ni vile watu hawajali humu kungejaa mada hizo kama unavyojisikia wewe kupandisha jukwaani habari za upande fulani wa kwako unauacha kwa umri wako ilibidi ukemee kote maana akinajisiwa mtoto wa kiislam ni tendo baya pia kwa jamii yoyote iliyostaarabika.
 
Huyo angekuwa Mkristo angekuwa na mengi sana ya kumuelezea lakini muislam mwenzake atakwambia subiri muda wake uishe ndo umuulize hilo swali huku kichwani anajua kabisa wakati huo hutataka jibu la hili utakuwa na mengine zaidi ya hili.
 
Huna jipya wewe, udini tu unakusumbuwa.
 
Kinachofanya hizi habari zienee sana elewa Kanisa Catholic ni taasisi pana inayohusu mataifa yote tofauti na uislam au madhehebu mengine (na ni vizuri zienee ili watu waovu wazidi kujulikana),mara ngapi tunasikia watoto kulawitiwa madrassa!unataka uthibitisho?

Ni vile watu hawajali humu kungejaa mada hizo kama unavyojisikia wewe kupandisha jukwaani habari za upande fulani wa kwako unauacha kwa umri wako ilibidi ukemee kote maana akinajisiwa mtoto wa kiislam ni tendo baya pia kwa jamii yoyote iliyostaarabika.
Vyovyote upendavyo, kumbuka tu, uozo huo ni makanisa makubwa yote sio la kikatoliki tu.

Ulishawahi kuisoma hii ya Tanzania: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
 
Huna jipya wewe, udini tu unakusumbuwa.
Mwenye udini mimi au wewe?

Wapo watoto wananyanyasika vibaya huko madrassa hapo Zanzibar mwaka jana mwishoni ustaadh kaharibu mtaa mzima ila hiyo hukuona umuhimu wa kuipandisha hapa leo unakuja mbio kwa sababu siyo upande wako!

Haya em jibu swali uliloulizwa hapo juu japo utajibu tofauti na ungejibu kabla hujaiona post yangu.
 
Vyovyote upendavyo, kumbuka tu, uozo huo ni makanisa makubwa yote sio la kikatoliki tu.

Ulishawahi kuisoma hii ya Tanzania: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Siyo makanisa tu hata kusikokuwa na makanisa huu ujinga upo unajitia upofu kubishana hapa na Kanisa lipo wazi haliwalindi watenda maovu yumkini uislam duniani kote ungekuwa unatoa arifa kwa wakati kama hivi ungechutama kwa aibu usingekuwa hapa unakaza shingo muda huu.

Tatizo la kanisa ni dunia nzima mpaka Umoja wa Mataifa imepiga kelele.

Mpaka Rais wa Ufilipino ikabidi afunguke alivyofanyiwa utotoni shule ya kanisa, ikamfaya alichukie kanisa.

Kama hiyo haitoshi, kuna mtu Tanzania katoa siri ya Fathee Kit Cunningham na wenzake wamewalawiti/lawitiwa na wanafunzi wote wa shulle St Francis.

Unayajuwa hayo, au unataka ushahidi?
Acha ushambenga.... nani anamzidi mtume wenu kwa liwati?
 
Bi Faiza kaleta habari, kosa lake nini? maana naona anashambuliwa balaa.... kwahiyo kwasababu yeye ni Muislamu akiona habari inayohusu ukristo asiilete?...

Kama kuna habari zinazohusu Uislamu, ni vyema zikafunguliwa thread nyingine ila kwa sasa ikadiliwe hii iliyoko mezani kuliko kumshambulia mleta maada na dini yake... Au hii habari ni uzushi?
 
Utahukumiwa kadri unavohukumu, unaujasili upi wa kumnyooshea mtu kidole chako kimoja angalia ww umenyooshewa vitatu au unaujasili upi wa kumtoa mtu kibanzi jichoni mwake ingali wewe unakiboliti.

Kanisa ni moja tu nalo ni kanisa katoliki kanisa takatifu la mitume na manabiii kanisa la Mungu muumba wa mbingu na nchi tutaendelea kufuata maandiko mema yaliyo katika Biblia takatifu nayo tutayaweka moyoni na kuyatumikia daima hatutayumbishwa na masadukayo.
Yaani unajaribu kutetea Padre kulawiti watu??
Acha huo ujinga haraka Sana.
 
Tatizo la kanisa ni dunia nzima mpaka Umoja wa Mataifa imepiga kelele.

Mpaka Rais wa Ufilipino ikabidi afunguke alivyofanyiwa utotoni shule ya kanisa, ikamfaya alichukie kanisa.

Kama hiyo haitoshi, kuna mtu Tanzania katoa siri ya Fathee Kit Cunningham na wenzake wamewalawiti/lawitiwa na wanafunzi wote wa shulle St Francis.

Unayajuwa hayo, au unataka ushahidi?
Kila mwaka tunaona maustadh wa madrasa wanalawiti watoto.. mbona hilo hugusii?
 
Bi Faiza kaleta habari, kosa lake nini? maana naona anashambuliwa balaa.... kwahiyo kwasababu yeye ni Muislamu akiona habari inayohusu ukristo asiilete?...

Kama kuna habari zinazohusu Uislamu, ni vyema zikafunguliwa thread nyingine ila kwa sasa ikadiliwe hii iliyoko mezani kuliko kumshambulia mleta maada na dini yake... Au hii habari ni uzushi?
Wakristo wenzangu wanajaribu kuficha maovu ya padri ngoja siku walawiti watoto wetu huko kwenye mafundisho ya vipaimara ndio watakuja kulalamika humu....Hili suala Ni baya na ukiwa timamu huwezi kutetea huu Upuuzi kisa kasemwa padre
 
Mwenye udini mimi au wewe?

Wapo watoto wananyanyasika vibaya huko madrassa hapo Zanzibar mwaka jana mwishoni ustaadh kaharibu mtaa mzima ila hiyo hukuona umuhimu wa kuipandisha hapa leo unakuja mbio kwa sababu siyo upande wako!

Haya em jibu swali uliloulizwa hapo juu japo utajibu tofauti na ungejibu kabla hujaiona post yangu.
Sijaiona kabisa, wacha kuuona umuhimu wake, mimi nimeyaona haya malalamiko ya Umoja wa Mataifa kwa kanisa...

Mpaka Umoja wa Mataifa wanayakalia vikao na kuilalamikia lawiti na kuharibu watoto kwa mapdri na makasisi kulawiti na kulawitiwa makanisani.

Usijidai kutafuta mchawi wakati wewe mwenyewe ndiye mchawi mwenyewe.
 
Kwanza mimi sio mkatoliki.
Lakini nafuatlia sana tabia yako ya kuegemea upande wako...huwezi kuwa mtu wa haki.

Mimi kawaida yangu hata baba yangu akikosea huwa namkosoa.

Tunazipenda dini lakini hatuishi kwa kuzifuata.
Wewe mwenyewe ni muislamu jina tu au nikuite mpambe tu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom