MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,952
Wanawake wa dunia ya leo ambao wanapigania "haki" zao wamekuwa wakisema "mwili wangu nina haki nao na chaguo langu".My body,my right my choice. Kwamba wasiingiliwe maamuzi yao pale wanapotaka kufanya lolote kuhusu miili yao hususani kwenye utoaji mimba.
Pro hao wameweza kupambana mpaka kufikia kwenye kongresi ambayo ambayo hapo jana imepitisha muswaada wa kuhalalisha jambo hilo.
www.nbcnews.com
Pro hao wameweza kupambana mpaka kufikia kwenye kongresi ambayo ambayo hapo jana imepitisha muswaada wa kuhalalisha jambo hilo.
Argentina's lower house passes bill legalizing abortion
Currently many women who have an abortion, as well as people who assist them with the procedure, can face prosecution. It's not clear if the bill will pass the Senate.