Arfi kuondoka CCM

Laana ya kusaliti wenzake Kwenye bunge la katiba mpya.
Atahangaika sana
 
mbona kuatapatapa hivyo. Utulivu hana.

,huyu ni malaya wa kisiasa. Malaya wa kawaida hapendi mtu ila anapenda pesa. Na huyu hapendi chama anapenda pesa.kazi yake ni kubadilisha wanaume yaani vyama.
 
Arudi CDM

Mbowe kasema wanamuhitaji kila mtu!!

Lakini sio huyu. Wala asizikaribie tena ofisi za chadema. Sasa majimbo yote yameshajazwa kwa kila chama nae nia ya kuhama hama ni kuvizia fursa namshauri aachane na siasa wala siamini kama ana mfuasi.
 
CHADEMA alichoshwa na unafiki, na hakuwa tayali kuchaguliwa marafiki. Naona aliwafuata marafiki zake lakini nao wamemtosa, sasa sijui ataondoka na gia gani na uelekeo wake utakuwa upi, huenda atamfuata Shibuda kule TADEA.
 
Arfi, Mgana Msindai, Makongoro Mahanga ni wanasiasa Mapacha. Wameshindwa kura za Maoni wanajidai vyama vyao havina Democracy
 
Dhambi ya usaliti itawatafuna hadi kaburini.shetani hanaga jema.hutafuna hata mawakala wake
 
Huyu mzee naye mbona nakuwa ma.la.ya wa kisiasa? Ina maana kwenda ccm alitegemea wamwachie agombee tu? Hiyo ndo faida ya kuimwaga CHADEMA. Amekutana na wataalam wanaoimba wembe ule ule ushindiii!! Namshauri astaafu siasani akafanye biashara tu, huko anakoenda hawezi kushinda hata kama atapitishwa bila kupingwa!!
 
Duh!!!

Hawa ndio walafi wa madaraka
...alafu utasikia eti wanamshangaa Lowassa hawa...wanasiasa wa kibongo hawatofautiani....kila mtu anaangalia mwisho wa tumbo lake.....siasa imekua short cut ya ku win maisha.....ndio maana unawona kina Pinda wanalia hadharan wanapoona wametupwa nje....siasa za nchi hii nuksi sana....alafu hawa wazee kama Arfi si wapumzike tu??
 
Unajua Mimi napata shida kuelewa siasa ya Tanzania, hivi tuna Anglia MTU au chama,so mdarefu pata eleweka tuu
 
Huyu jamaa si alisema hagombei tena ubunge na akawataka CHADEMA kama wanaweza walitetee hilo jimbo..kelele tupu
 
Kiukweli si vyema na sipendi kuwatukana wazee....... Lakini Arfi ni Mpumbavu
 
Sasa atasubiria baada ya miaka kumi tena yeye Shibuda na dada yao Leticia,hawa watasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…