Arfi kuondoka CCM

Duuh anaenda kuungana na wachumia tumbo wenZzake
 
Hasira hasara...Pole Arfi...

Hope ni kqti ya wale 38,000 waliojiunga CCM na wameanza kurudisha kadi.Ikifika October 2015 nadhani watakuwa wamekwisha
 
shikamoo ccm. Maana kwenye bunge la katiba alijifanya kidume eti anatetea wananchi. Ametumika kama ile mipira sasa hana la kufanya. Ccm ndivyo wanavyowaua kisiasa kwa vipande vya pesa
 
Vipi limeshakatwa nini ???????????
 
shikamoo ccm. Maana kwenye bunge la katiba alijifanya kidume eti anatetea wananchi. Ametumika kama ile mipira sasa hana la kufanya. Ccm ndivyo wanavyowaua kisiasa kwa vipande vya pesa
 
Amekua kama kuku aliyekatwa kichwa.

Hili ni fundisho kwa wengine wa design yake.
 
Kwani hajui chama kinachopokea wanaokatwa tu? Arudi tu asione aibu
 
hili jinga kweli kama kuna watu wanalishabikia nao ni wajinga kabisa.
 
Kwenda CCM ilikuwa ni zuga tu,lengo lake ni kwenda ACT migebuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…