Hakuna gamba wala anayetumika na ccm hii kitu ndio itatuangusha chadema inabidi tukubali ukweli iki tujipange na si kupinga kila kitu na mtu anayesema ukweli unaitwa gamba.je ukweli ni upi kama mimi nadanganya?
Wewe Madelu acha ujinga huwezi kuua chadema kwa kuzusha tu lazima ushawaishi watu kwa matendo siyo propaganda tu. Watu wa siku hizi siyo wa kipindi cha ujamaa wa kirusi kaka! Kama hizi ndo mbinu za CC mpya basi kawaambie wamekosea, wafute plan waanze upya! Mangula huu si wakati wake, uwezo wake ni wa zamani anaweza kuwashawishi wazee wenzake lakini siyo dot com bwana!