Are you using the cyber cafe's??read this very careful!!Take care!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
cyber.jpg
If you visit a cyber cafe and find find any black pin attached to the CPU as shown in the picture, do not use that system. This pin is actually a connection which saves all your data you enter in the system. It is a hardware keylogger, very powerful, it records each and every action on your system.
It is a risk to your privacy over the net, at risk are passwords, banking, or any other data you enter.
Please *SHARE* this information among your friends and secure them too.
 
Hiyo dawa yake ni 2 factor authentication. Kama kwenye Gmail yangu nimeset 2 factor authentication ukitaka kulog in inabidi uandike password na kisha uandike namba ambayo inatengenezwa na Google Authenticator App kwenye simu yangu ya Android, hivyo hata ukinasa password yangu haitakusaidia maana hauwezi kuipata namba ya authenticator bila kushika simu yangu at the same time.

KkZ1w.gif

Pia unaweza kuishinda keylogger kwa kukopy na kupaste password yako badala ya kuiandika kwa keyboard.
 
Case yako inafanana na yangu ya Barclays bank. Ninatumia internet banking katika Barclays. Uki log in kwa username na password unatumiwa authentication code kwenye simu. Ukiingiza code ndio unaweza kutembelea akaunti yako. Yaani mtu ili aingie kwenye akaunti yako lazima awe na vitu 3: username, password, at least, na line yako ya simu.
 
ni ngumu sana hili ukizingatia hizo input device zinakuwa behind alafu kibongo bongo ukileta udadisi kama huo huchelewi kuitwa mwizi

Hii ni kweli. Na hasa kama wamefix vitu kama hivyo wataweka CPU katika mkao ambao ili uchunguze lazima u draw attension ya wengine.
 
Kwa hapa Bongo, tuna haja ya kuwa na wasiwasi kweli? Naona kama imekaa kimagharibi huko au Asia.
 
Kwa hapa Bongo, tuna haja ya kuwa na wasiwasi kweli? Naona kama imekaa kimagharibi huko au Asia.
utandawazi kaka huu, unasafiri kutoka huko ukuitako wewe magharibi within seconds or few mouse clicks. na hata kama hakuweka hardware keyloger software keylogers ndio hatari zaidi maana huwa huna habari nayo....
 
Back
Top Bottom