Are you serious?

Are you serious?

Hhahahahaaaa.....wacha mikwala yako wewe....nitakumwagia dengelua ulewe alafu nikuibie hivyo visenti vyako ulivyodunduliza.........

hahaaaaaa.. dengelua pombe ya kipare. mkinywa mnazidi kuwa warefu kwenda chini
 
Huyo itakuwa ana shamba lake kijijini na huwa nanunua sana bei poa kuliko super market
 
mlima gani labda???? Mpare akijenga ghorofa mi nabadili kabila
Mbona maghorofa ya kumwaga tu huko upareni tena mengine tunafugia mbuzi.....we sema tu unataka uwe mpare....kwa taarifa yako wenyewe tumeenea.....
 
Mbona maghorofa ya kumwaga tu huko upareni tena mengine tunafugia mbuzi.....we sema tu unataka uwe mpare....kwa taarifa yako wenyewe tumeenea.....

ndo nimekupata sasa mtani.. magorofavya miti kumbe.. basi sawa
 
Back
Top Bottom