Are you living or Just surviving?

Are you living or Just surviving?

Binadamu kazidiwa akili na nyuki kwasababu nyuki yupo busy katika uasilia wake hata siku moja huwezi Kuta nyuki akijifananisha na nzi Lakini binadamu mara nyingi anawaza asipofanya Hivi je fulani atamuonaje? ndo maana wengi Wana fake maisha badala ya kuishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom