Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Baby si unaenda ile nchi jamani! Wivu gani huo una ahirisha safari? Loooooh! Basi wife will be next! Miss Neddy im still watching you! Kwa jicho la pembeni!Niko invited na nalipa mpunga mapema kabisaa anayewaza kufanya kazungurukee ameula wa chuya.
Hahaaaaaa! Ushaaaaaaanza! Umejuaje ni dhahabu? Tena ishia hapo hapo! Mi nawashangaa nilacho mkubwa wenu na nyie madogo hiko hiko mnakitakaaa! Loooooooh! Haya ulikwa unachonga sanaa kwa mgiriki nimekuachia, hukuridhikaaa, ukaja kwa mgosi wa kaya, haya nae nakuacha sasa ila ulivo na roho ya korosho na usivo na haya unataka uje unibane hadi huku kwa Graffiti? Loooh! Kama kupe!
Hahahaaaaaa! Kwa taarifa yako MKOPO tu! Si unajua mechi za kirafiki tangia lini zikawa na kiingilio? Hahaaaaaa!hahahaha lol mi mgriki walaaaa ana wenyewe
ila graffit gafla vin vuuu si bure kuna ulaji hapo nakujua sana
Tobaaaaaaaaaaaaaaa! Baby si unaenda ile nchi jamani! Wivu gani huo una ahirisha safari? Loooooh! Basi wife will be next! Miss Neddy im still watching you! Kwa jicho la pembeni!
Usijari siyo issue naweza kuomba company ya mpwa wangu Heaven on Earth......
Ila ukumbuke kauli mbiu ya Zanzibar ni mapinduzii daimaa.
can't wait to see u face to face babuu
It's party time...
Worry not!Niiiice....naombeni mwalikoooo
Kama najiona vile ndani ya harrier yetu tunaelekea kwenye party.I cant wait kwa kweli.....