father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 835
- 643
huyu dada anatafuta mchumba mwenye miaka kati ya 30-40
-mimi ni msichana [PICHANI JUU NAONEKANA]
-nINA miaka 28.
-mkristo.
-mjasiriamali.
-naishi Dar es salaam.
sina mtoto wala sijawahi kuolewa.
natafuta mchumba mwenye
-miaka kati ya 30-40.
-awe na shughuli yeyote inayompatia kipato au kama yuko chuo pia ni sawa.
-awe mkristo-asiwe anaishi nje ya Tanzania(sitaki kuishi nje ya Tz)
-awe serious na sio mwenye kutaka kupotezeana muda.
-awe mstaarabu,mkweli,ajiheshimu,asiyeendekeza starehe zisizo na mpango,awe mpenda maendeleo.
email adress yangu ni upendo@hotmail.se
(unaambiwa kizuri kula na nduguyo,wakuu nilivyoliona hili tangazo nilijihisi kuvutiwa na huyu dada sbb nilisense kuwa yuko genuine ,natamani kuwasiliana naye lakini mimi niko ughaibuni na yeye kaweka sharti kuwa hataki mtu anayeishi nje ya tanzania.
kwa vile jana niliona yule jamaa yetu aliyekuwa akitafuta mchumba humu ndani katangaza kuwa keshapata mrembo humuhumu ndani nikaona si vibaya nilete hii kwa washkaji single mlioko tanzania.)