Are you a single man? follow me!

father-xmas

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
788
615
huyu dada anatafuta mchumba mwenye miaka kati ya 30-40

010+%282%29.JPG
009+%284%29.JPG

-mimi ni msichana [PICHANI JUU NAONEKANA]
-nINA miaka 28.
-mkristo.
-mjasiriamali.
-naishi Dar es salaam.
sina mtoto wala sijawahi kuolewa.
natafuta mchumba mwenye
-miaka kati ya 30-40.
-awe na shughuli yeyote inayompatia kipato au kama yuko chuo pia ni sawa.
-awe mkristo-asiwe anaishi nje ya Tanzania(sitaki kuishi nje ya Tz)
-awe serious na sio mwenye kutaka kupotezeana muda.
-awe mstaarabu,mkweli,ajiheshimu,asiyeendekeza starehe zisizo na mpango,awe mpenda maendeleo.
email adress yangu ni upendo@hotmail.se

(unaambiwa kizuri kula na nduguyo,wakuu nilivyoliona hili tangazo nilijihisi kuvutiwa na huyu dada sbb nilisense kuwa yuko genuine ,natamani kuwasiliana naye lakini mimi niko ughaibuni na yeye kaweka sharti kuwa hataki mtu anayeishi nje ya tanzania.
kwa vile jana niliona yule jamaa yetu aliyekuwa akitafuta mchumba humu ndani katangaza kuwa keshapata mrembo humuhumu ndani nikaona si vibaya nilete hii kwa washkaji single mlioko tanzania.)
 
Awali kabisa, rekebisha heading yako...haijatulia.

MBONA huyo mdada UMEMWONYESAHA sehemu za katikati na makalio tu?
Sura yake imekaakaaje?
Is that your Marketing strategy?

Haya singles...sijui mnachopenda katika mwanamke..kaz kwenu!
 
heading nimesharekebisha kamanda...nilisahau neno you.
sura yake hata mimi natamani kuiona kiongozi....kila kitu nimekikuta hivhivi ktk blog moja ya dating....!
marketing strategy kivipi kiongozi..unamaanisha namuuza au unamaanisha nini mkulu?
 
najaribu kubadili heading lkn sijui kwa nini inabadilika ndani tu pale nje haibadiliki....imekaa vibaya....!
 
Haya for the singles and searching chukueni huyo but angalieni asijekuwa kunguru. Kwetu sisi waseja tushajifunga sirudi nyuma!
 
Haya for the singles and searching chukueni huyo but angalieni asijekuwa kunguru. Kwetu sisi waseja tushajifunga sirudi nyuma!

hahaaa G!! umenikumbusha mbali eti 'waseja'!!!

wewe ni m-Francisico???
 
Awali kabisa, rekebisha heading yako...haijatulia.

MBONA huyo mdada UMEMWONYESAHA sehemu za katikati na makalio tu?
Sura yake imekaakaaje?
Is that your Marketing strategy?

Haya singles...sijui mnachopenda katika mwanamke..kaz kwenu!
bwana Jimmy huyu jamaa anatubania,anamtaka anajifanya hamtaki,si umemsikia anasema yeye kwa vile yuko nje? kwani nje unaishi milele?Hata hivyo mmmh sijui niseme?anyway anaonekana analipa.Sijui reception yake.
 
heading nimesharekebisha kamanda...nilisahau neno you.
sura yake hata mimi natamani kuiona kiongozi....kila kitu nimekikuta hivhivi ktk blog moja ya daiting....!
marketing strategy kivipi kiongozi..unamaanisha namuuza au unamaanisha nini mkulu?
EBO sasa huko kichwani akiwa na mapembe?
 
bwana Jimmy huyu jamaa anatubania,anamtaka anajifanya hamtaki,si umemsikia anasema yeye kwa vile yuko nje? kwani nje unaishi milele?Hata hivyo mmmh sijui niseme?anyway anaonekana analipa.Sijui reception yake.

tehe tehe he kiongozi pamoja na kulileta tangazo mpaka hapa unasema nabania.....namtaka ndio kanivutia ndio lkn hataki kuja ughaibuni na mimi sina mpango wa kurudi karibuni...sijui nini kinamfanya aogope kuja ughaibuni......acheni kutuita wabeba mabox ndio maana mnatukosesha riziki kama hizi!kilichonivutia zaidi ni kwamba hataki kuja ughaibuni maana wale vicheche ughaibuni ndio first priority......!
 
MWINGINE HUYU HAPA
a46940gawz_1_09fd86188e69c8f6c8ff5e9470f07ddd.jpg

Malaikamweupe
Pisces.gif

Tanzania, Dar es Salaam

I am a woman, 44 years old
seeking a man age from 20 till 40

My marital status: Single
Kids: None
My living situation: Live alone
 
tehe tehe he kiongozi pamoja na kulileta tangazo mpaka hapa unasema nabania.....namtaka ndio kanivutia ndio lkn hataki kuja ughaibuni na mimi sina mpango wa kurudi karibuni...sijui nini kinamfanya aogope kuja ughaibuni......acheni kutuita wabeba mabox ndio maana mnatukosesha riziki kama hizi!kilichonivutia zaidi ni kwamba hataki kuja ughaibuni maana wale vicheche ughaibuni ndio first priority......!

mkrismas hata mimi sitaki kuja ughaibuni
will I be condidered if I foward my application to you?
 
yaani warembo tuliojaa Jf mnatuacha mnaenda kutuletea competitors outside!!!
sawa bwana na sisi ngoja tutafute ji handsome kutoka nje ya JF tutangaziane!LOL.
naona father xmas umeamua kuwagawia kina baba wenzio zawadi ya mrembo!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom