Ni kweli Fidel ni vijimambo tu ila nikikumbuka nguvu nilizokuwaga nazitumia kupingana na hii...... ningezitumia shamba saa hizi ningekuwa mkulima tajiri.
But nafikiri bado kuna umuhimu wa kuendelea kugangamala kwenye vita hii kwani tukiwaruhusu kiwazi mbona itakuwa balaa??
Ok back to the topic
MJ1 umeleta mada nzito sana aisee... its our natural deed kuwa tulivyo na mara nyingi ukiona mwanaume anakua anabehave kivingine, utakuata hata social life yake inakua kimtindo sana
Kama una mtoto wa kiume, mchunguze akianza nursery, haitazidi wiki atakuja na kukwambia mom nina rafiki na atamtaja binti, lakini akiwa na marafiki wa kiume wenzake hata hamsini inakua very rare kuja na pride nuyumbani...
ila kwa upande wa akina dada kusema kwamba wanainfidelate simply because they miss something, hiyo ntaiqualify kwani kuna watu wameumbwa kutotulia tu
MJ1....nadhani cha kufanya ni kutafuta 'best way' ya kutekeleza necha (nimegundua kwamba infidelity sio mila tu n necha), bila kuathiri pande husika....vitu kama safety gears etc..
Ok, kitabu sio feki ni verse moja tuFL1 Inasemekana kwenye kitabu kuwa .... Men want to see beyond the Stars, Not necessarily because they no longer love their wives, but because of the excitement that goes with hunting and discovery...........
The Following 9 Users Say Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:
Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!
Hata ukigangamala tatizo n'tu humfungi kamba kila n'tu ana maamuzi yake.
Si unajua labda jamaa alipendezewa na kitu flani sasa hicho kitu kwako kimesha anza kuchuja.
Hali kadharika na wewe nawe yale maufundi yaani mikiki mikiki uliyo kuwa unaipata zamani kutoka kwa jamaa unakuta imepungua bila shaka unatafuta dogo janja afanye replacement pale upate radha kama zamani
................zaidi Roya, zaidiHicho kingine kina mapoint kama haya ya leo..??
mmmmhhh!!! hicho naomba ukilete kwenye kamati kuu kabla ya kukijadili hapa. Sikubaliani na title in the first place!Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!
................zaidi Roya, zaidi
Karibia nitagraduate kwenye mahusiano lol
Single I wish to remain forever.....................
................zaidi Roya, zaidi
Karibia nitagraduate kwenye mahusiano lol
Single I wish to remain forever.....................
Basi umpe Acid atoe kopi na hicho...ili atugawie.!
Ila naona ushagraduate kitambo sana... :A S thumbs_up: :A S 41:
Lakini Fidel si ni wote wawili tunatakiwa kuhakikisha maujuzi na maufundi hayachuji? Iweje nikichujisha mie weye utoke kuyatafuta nje wakati ukichujisha wewe mie nivumilie tu?
Hahahahahaha Acid umenifanya nicheke kwa nguvu ofcn. ah haya ntakuazima but kuna kingine mydia .... WHY MEN LOVES BITCHES.. Hahaha kiboko yenu!
This is very true dear...! Lakini hapo kwenye kwenye red, bado inaniumiza mimi sana, maana if something is missing, why don't you say it very openly and just having a reasonable wait for your husband's/BF's reactions? You just make an immediate decision na kutoka nje ya ndoa yako? If emotional love....! Do you mean that you don't love your BF/Husband anymore? Why don't take control of yourself over this?Dears I hope wote mu wazima and had a nice weekend.
Kidogo nimechanganyikiwa hapa na ninahitaji msaada wenu bandugu......
... Currently ninasoma hiki kitabu "Men are from Space, Women Must be from Heaven" By H. Madson.
Kuna sehemu inasema .....By nature men are hunters and explorers- they tend to have several affairs (Infidelate) because they feel insecure in nature and therefore need to prove their masculinity and male ego.......
......... And for women they do so in search of something missing from their marriages either attention, caress, emotional love e.t.c.
Kama hii ni kweli is it possibe that we ladies are fighting an endless battle which we will never win? kwa kupiga vita hii nature ya wanaume kutoka nje ya ndoa zao....Si wanasema you cant fight over nature??
One is me....!Nilijua wapo wenzio wanakuja kukupa suport
me ngoja nione mnavyoflow kwanza
Mjukuu kula siku nilikuwa nawaambieni mnaniona crazy. Huo ni ukweli kabisa!
Mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi lakini mwanawake ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja. Mwanaume akitoka nje ya ndoa ni halali, lakini mwanamke akifanya hivyo ni DHAMBI!
Kama mnabisha nendeni mkayaulize hata majogoo.
Roya ........ kusema ukweli nadhani very soon nitaamua kuokoka maana naona sasa sina jinsi yaani hiki kitabu kimenimaliza kabisa nguvu zangu za kike.
I think I dont want to fight with you anymore............. lol (kama nawaona wapwa wanavyofurahia!!)
leo ma inf"s roho nyeupe