Are there no African inventors?

Are there no African inventors?

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
537
Probably and just not necessarily true lakini ni notion ambayo, labda kwa uvivu tu au kutokutaka kushughulika, vijana (sio wote) hasa wanafunzi wa Kiafrika wanayo. There are those who argue that all has been 'discovered' or 'invented' and that there isn't any left for this generation to work out. In my wanderings over www I came across this effort by one Rudy Massamba, to catalog and put out the works of African inventors. Hebu tembelea hii site halafu labda kutakuwa na la kujadili Kumatoo
 
Wapo wengi sana, kila siku wanavumbuwa aina mpya ya ngoma, aina mpya ya kilevi, aina mpya ya kujikoroga, aina mpya ya kutumia nywele za maiti, aina mpya ya matusi, aina mpya ya uongo. Wengi sana.

Inahitaji akili ya hali ya juu kuvumbuwa namna ya kumtusi mtu kwa kutumia jina la mtu, Au unasemaje?
 
Nina uhakika wapo lakini hiyo list ya kwenye website hainipi matumaini makubwa, naona kuna jamaa ana kampuni ya kufyatua Android tablets (in China), sioni alichoinvent hapo, na yule dogo aliyetengeneza wind turbine ametumia akili lakini hakuna invention pale.

Tatizo sio kuwa hakuna vitu vya kuinvent siku hizi, ila viko kwenye technical level kubwa sana hauwezi ukaibahatisha kwa chance kama baadhi ya inventions za zamani.

Watu wanainvent vitu kila siku, MIT wametoa "syringe" ambayo haitumii sindano this week, inainject dawa kwa kutumia pressure straight through the skin. Hizi gadgets tunazotumia zote zinategemea dozens of small inventions, sema ziko complex kiasi cha kwamba hatuwezi kuzielewa na hivyo hatuzithamini kama inventions za kale.
 
Depending on what you take the word "invention" to mean. Does it have to be a physical item? If not, how about those who "invent" business ideas that transform their day to day life. You can't argue that there are no Africans doing that. Houses and apartments for sale and for rent in Tanzania.

invention ni sawa na innovation ie an idea that is perceived as new. M pesa ni mfano mzuri wa African invention. Sidhani apartment project qualifies for invention.
 
mi nafahamu invention za misri mfano kama mwaka huu wamegundua new way ya kuprevent earth quick kwa kuunganisha milima kwa kutumia molten material. Njia hio pia itaanza kuunganisha majengo makubwa na tayari wamekua awarded london na itaanza kutumika soon
 
me sijakubali mafunzo yako ya kutufundisha ugunduzi wa matusi mapya nywele za kichina, uongo etc. binafsi naona na we pia ni mvivu tu mambo mapya/mambo yenye maboresho na yenye tija kwa jamii yapo mengi. ukitaka kuyapata mapya kwanza fikiria wewe profesinal gan? je kunafulsa ndan ya professinal yako? kama hauzion jiulize waliopo kwenye field hiyo wana mapungufu gan kwa wateja wao? na hayo mapungufu unaweza kuyafanya kama fursa kwako? ukishindwa bac iga toka kwa waliokuepo, bado isitoshe kama unakumbuka wazazi wako/walezi wako walikua wanafanya shughuli gan iliyokufanya ufike hapo bac hiyo nayo ni fursa jiulize tena maswali ya hapo juu. hii nayo pia itakusaidia uache matusi yako.
 
Mkuu, pametokea nini hapa?
 
yule jamaa aliyegundua penicillin ni mzungu??
 
Naona unatoka nje ya mada, swali linauliza; ARE THERE NO AFRICAN INVENTORS?
 
yule jamaa aliyegundua penicillin ni mzungu??
Fleming Mzungu unless amejichubua sana
SR3Y8.jpg
 
Back
Top Bottom