Ainisha jambo gani ? Ukiona halipo kwenye kitabu ujue kwamba kitabu kimekupa muongozo wa wapi pakupata hilo jambo. Ndiyo maana kitabu kikasema "Waulizeni wenye kufahamu mkiwa nyinyi hamfahamu". Hii ni katika adabu za kutafuta elimu na kutaka kuyajua mambo.hilo jambo halijatolewa majibu kwenye hicho kitabu?
Hii sasa ndiyo maana ya kitabu cha kuongoza watu, kitabu ambacho hakina shaka ndani yake. Qur'aan si kitabu cha Sayansi wala mfano wake, bali ni kitabu cha kuwaongoza watu na kuwaonyesha njia. Ndiyo maana kikatuongoza sisi ya kuwa kama hatujui basi tuwaulize wanao jua, maana yake kinajua ya kuwa wapo wanao jua na wasio jua kama wewe.kwa maana hiyo dini yako kupitia kitabu chake haina maarifa yeyote kuhusiana na umeme mpaka iwatake watu wanaotaka kuujua waende kwa wajuzi walioweza kuujua umeme bila msaada wa hicho kitabu?
Huko ndiyo kugusa kila kitu, tena kinakupa muongozo.hapana. hapo umenionesha kua sio kitabu kilicho gusa kila kitu na ndio maana mnaelekezwa kupata maarifa nje ya hicho kitabu
Shida yako huwa unavamia mambo yaliyo kuzidi uwezo. Nilikwambia hapo awali ya kuwa unaposema ni mapendekezo ya watu, unatakiwa uthibitishw ya kuwa kweli ni mapendekezo. Usilete habari za vilingeni kijana. Onyesha tu vitu viwili hivi :kitabu kuitwa muongozo wa watu sio kigezo cha kuonesha hakina shaka, ni mapendekezo ya watu tu kuitwa "muongozo" na kamwe muongozo huo hauwezi kuvuka mipaka nje ya jamii hiyo ya watu waliokipendekeza. Ni kama ilivyo katiba ya nchi ya tanzania kuwa muongozo wa nchi hii kutokuwa na authority ya kisheria katika nchi ya kenya
Safi kabisa naona tatizo lako la kutokuwa makini bado liko pale pale na naona limechachamaa sasa.weka hapa hayo maoni tuyaone
Hakuna hoja mfu hapo, zaidi ya kukuonyesha ya kuwa jibu nililo kupa ni jibu sahihi na nikakuonyesha ya kuwa swali lako halina majibu toka katika somo la Baioloji.na hakuna mahali nime declare biology ina majibu ya kila kitu
hii ndiyo strawman argument sasa
Uko sauzi au swazi bwashee?Jana nimetongoza msagaji demu mkali huyo balaaa, Sema yeye kanikubali na kaniambia anapenda life style yangu. Ila nilipoomba game kaniambia yeye hafeel wanaume, ye anapenda wanawake wenzie, na mimi namjua kuwa huyu demu lesbee isipokuwa nimetest mavumba yangu. Ila kaniambia yeye ananikubali sana mm na kaniahidi kesho anakuja gheto na dem mkaliii ananiletea ila sio yeye,,,, yani Wana nzengo na chats zake ninazo hapa. Mtoto mkali balaa, mxhosa kamix na mkaroud
Kwa wale waliozidiwa hormone tuseme sasa wamezaliwa mashoga.Kuna wale ambao homoni za kike zimezidi.
Mpaka anakuwa nusu mwanamke.
Lakini wengine ni tamaa zao na uenda ikawa ni pepo wabaya wamewakumba
kila mtu ana homoni zote mbili kike na kiume zinapishana kiwango kutokana na jinsia !ya kiume nyingi kwa wanaume na ya kike nyingi kwa wanawake!!!sasa tatzo huja pale ambapo homoni zikazidi za jinsia nyingine hapo ndipo hisia za kishoga huanza na mtu huanza mchezo mchafu!!
lolote lile,Ainisha jambo gani ?
maana yake, ile dhana ya "kuran haijaacha kitu" ni uwongoUkiona halipo kwenye kitabu ujue kwamba kitabu
maana yake kitabu hicho kuna maelezo mengi yamepelea..kimekupa muongozo wa wapi pakupata hilo jambo.
hiyo inamaana majibu ya hayo maswali huwezi kuyapata ndani ya hicho kitabuNdiyo maana kitabu kikasema "Waulizeni wenye kufahamu mkiwa nyinyi hamfahamu".
ni kwasababu ni muongozo uliochaguliwa utumike katika kundi fulani miongoni mwa wana jamii, hivyo kusema hivyo vitu ulivyo vitaja ni dhambi in general utakua unakosea.Hii ni katika adabu za kutafuta elimu na kutaka kuyajua mambo.
Ngoja nikupe mfano katika Qur'aan na Hadithi, hukuti wapi kumeandikwa ya kuwa Bangi ni haramu au Sigara ni haramu,ila kuna msingi wa ujumla upo katika Qur'aan na Hadithi, unao sema usijidhuru nafsi yako na mfano wa hayo.
kitabu kimeweka wazi kua chenyewe sio chanzo kamili cha mambo, nyinyi mnatoka kifua mbele kupotosha kua kila kitu kipo ndani ya kitabuSasa unaposema usilo lijua ukibainishiwa tafakari uone wapi unakosea.
Hii sasa ndiyo maana ya kitabu cha kuongoza watu, kitabu ambacho hakina shaka ndani yake. Qur'aan si kitabu cha Sayansi wala mfano wake, bali ni kitabu cha kuwaongoza watu na kuwaonyesha njia. Ndiyo maana kikatuongoza sisi ya kuwa kama hatujui basi tuwaulize wanao jua, maana yake kinajua ya kuwa wapo wanao jua na wasio jua kama wewe.
nimekuambia nipe verse ya ndani ya hicho kkitabu ikiongelea kampeni za magufuli na lissu na ikitabiri mshindi tena kwa asilimiaHuko ndiyo kugusa kila kitu, tena kinakupa muongozo.
Shida yako huwa unavamia mambo yaliyo kuzidi uwezo. Nilikwambia hapo awali ya kuwa unaposema ni mapendekezo ya watu, unatakiwa uthibitishw ya kuwa kweli ni mapendekezo. Usilete habari za vilingeni kijana. Onyesha tu vitu viwili hivi :
1. Umashaka katika hicho kitabu (ukiweza nitaomba hiii ID yangu ifungwe maisha)
2. Onyesha mapendekezo hayo kwa ushahidi.
hilo ni irrelevant, kuna vitabu vingi sivijui nani aliyevitunga lakini hiyo haithibitishi kwamba vimejitunga au havina authorNikikuuliza ya kuwa upi ushahidk wa kuonyesha ya kuwa katiba ya nchi ni mapendekezo na makubaliano ya watu hili bila shaa utaweza kunipa ushahidi huo, sasa nataka unipe ushahidi unao onyesha ya kuwa Qur'aan kuitwa muongozo kwa watu, ni mapendekezo au ni zao la mapendekezo ya watu fulani.
Elewa swali, Nimekuambia weka hapa hayo maoni sijakuambia weka ukurasa au sura yalipowekwa hayo maoniSafi kabisa naona tatizo lako la kutokuwa makini bado liko pale pale na naona limechachamaa sasa.
Suala la maoni ya wakubwa zangu umeanza kulileta wewe. Nikakujibu ya kuwa maoni ya wakubwa zangu ni Qur'aan na Hadithi, yaani wanatuhimiza kushikamana na viwili hivyo.
Soma katika Qur'aan kisa cha nabii Lutwi na watu wake. Sura ya 26 aya ya 166 na aya za kabla na aya za baada
Unaweza nionesha wapi nimeandika hayo maneno kua "biolojia ina majibu yote"?Hakuna hoja mfu hapo, zaidi ya kukuonyesha ya kuwa jibu nililo kupa ni jibu sahihi na nikakuonyesha ya kuwa swali lako halina majibu toka katika somo la Baioloji.
Sasa uwe unasoma maneno kisha uyaelewe kwanza ndiyo ujibu au bora kwako ni wewe uulize swali sehemu ambayo hujaelewa.
Sada unalizaje swali ambalo Baiolojia halina majibu ya swali hilo ? Huko ndiyo kuijalia Bailojia ya kuwa ina majibu ya maswali yote hali ya kuwa haina majibu ya mambo yote.Unaweza nionesha wapi nimeandika hayo maneno kua "biolojia ina majibu yote"?
Elewa swali, Nimekuambia weka hapa hayo maoni sijakuambia weka ukurasa au sura yalipowekwa hayo maoni
Naona unaficha tabia yako mzee. Hapa tunaandika elu unaleta ukameme ? Siyo kila mada uchangie usiwe kama mwanamke mwenye hedhi au mimba changa.
hujajibu swaliSada unalizaje swali ambalo Baiolojia halina majibu ya swali hilo ? Huko ndiyo kuijalia Bailojia ya kuwa ina majibu ya maswali yote hali ya kuwa haina majibu ya mambo yote.
Sasa kama hivyo ndovyo, uliza swali ambalo majibu yake yanajibiwa ma Baiolojia.hujajibu swali
Unaweza nionesha wapi katika post yangu nimeandika hayo maneno kua "biolojia ina majibu yote"?
maoni haya ni irrelevant kwasababu hayajaeleza kuhusu watu kuzaliwa wakiwa mashogaSoma hapa kwa umakini kisha uone nini kiliwakuta wale walio kuwa wanafanya mapenzi ya jinsia moja.
Nanukuu :
166. Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka!
167. Wakasema: Ewe Lut'i! Usipo acha, hapana shaka utakuwa miongoni mwa wanao tolewa mji!
168. Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia hichi kitendo chenu.
169. Mola wangu Mlezi! Niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo.
170. Basi tukamwokoa yeye na ahali zake wote,
171. Isipo kuwa kikongwe katika walio kaa nyuma.
172. Kisha tukawaangamiza wale wengine.
173. Na tukawanyeshea mvua, basi ni ovu mno mvua ya waliyo onywa.
174. Hakika katika hayo ipo Ishara. Na hawakuwa wengi wao wenye kuamini. (ashu'raa : 166 - 174)
Maoni yao ni hayo.