Are people born Gay ?

Kisai

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
27,982
28,100
Katika pita pita yangu ,( sababu mimi ni miongoni mwa watu tunaopenda Dini ) nikawa napitia kisa cha nabii Luti/Lutwi ( Kwa watu wafuatiliaji wa Dini, hiki kisa ni maarufu sana ) na watu wa Sodoma na Gomora,nikawa natafakari sana juu ya utambuzi wa watu wale, nikawa najiuliza walipatwa na nini mpaka wakawa wanafanya mapenzi ya jinsia moja ?

Historia imeandikwa na kalamu zimenyanyuliwa na wino umekauka, Hamad ! Mambo haya ya mapenzi ya jinsia moja yanapigiwa upatu na baadhi ya watu na yakafanywa kama ni mambo ya kawaida na ni katika haki za faragha za watu, yaani hupaswi kuwaingilia wafanyapo mapenzi hayo. Lakini sisi tunajiuliza watu hawa wamepatwa na nini ? Akili zao huzifanyia kazi wapi ? Hata picha hawaoni ?

Je ni kweli mtu huzaliwa akiwa shoga au msagaji na msagwaji ?

Karibuni wadau, wakubwa na wavyele katika kunisaidia kunipa majibu ya swali hilo hapo juu.

Ni mimi kijana fakiri na muhitajia toka kwa Mola wangu mlezi, Mola muumba wa ardhi na vilivyomo Zurri Mubarridi.
 
Kwa msingi hiyo hiyo ya dini, kama u msomaji wa Biblia, kuna palipoandikwa, 'hamna jipya chini ya jua'. Na ndio maana mambo mbalimbali ikiwamo unayozungumzia, lilikatazwa katika hicho kitabu.
Watu wa wakati huo walipatwa na nini, sidhani kama tunaweza kujibu kama ambavyo swali hilo pia ni la kujiuliza kwa watu wa nyakati zetu.
 
Jana nimetongoza msagaji demu mkali huyo balaaa, Sema yeye kanikubali na kaniambia anapenda life style yangu. Ila nilipoomba game kaniambia yeye hafeel wanaume, ye anapenda wanawake wenzie, na mimi namjua kuwa huyu demu lesbee isipokuwa nimetest mavumba yangu. Ila kaniambia yeye ananikubali sana mm na kaniahidi kesho anakuja gheto na dem mkaliii ananiletea ila sio yeye,,,, yani Wana nzengo na chats zake ninazo hapa. Mtoto mkali balaa, mxhosa kamix na mkaroud
 
Jana nimetongoza msagaji demu mkali huyo balaaa, Sema yeye kanikubali na kaniambia anapenda life style yangu. Ila nilipoomba game kaniambia yeye hafeel wanaume, ye anapenda wanawake wenzie, na mm namjua kuwa huyu demu lesbee isipokuwa nimetest mavumba yangu. Ila kaniambia yeye ananikubali sana mm na kaniahidi kesho anakuja gheto na dem mkaliii ananiletea ila sio yeye,,,, yani Wana nzengo na chatt zake ninazo hapa. Mtoto mkali balaa, mxhosa kamix na mkaroud
Doh
 
Hakuna mtu anazaliwa Gay, hizo ni tabia watu hujifunza kama Kuvuta Sigara, kunywa Pombe, Kucheza mpira, kukimbia, kuiba, kuimba,n.k

Kama ambavyo hakuna mtu anazaliwa mlevi, vivyo hivyo hakuna mtu anazaliwa Gay.

wapo watu wanzaliwa na abnormalities mbalimbali, kama kuwa na jinsia mbili, au kutokuwa na jinsia yoyote.

Hakuna abnormality ya kumfanya mtu awe Gay.

Huo ni utashi wao.
 
Walikutwa na kinachokukuta wewe,yaani mkuu unatumia muda wako kuwaza mapenzi ya jinsia moja?Au unataka kutest mitambo?Nakushauri ungeupa kipaumbele uchaguzi mkuu.
 
Walikutwa na kinachokukuta wewe,yaani mkuu unatumia muda wako kuwaza mapenzi ya jinsia moja?Au unataka kutest mitambo?Nakushauri ungeupa kipaumbele uchaguzi mkuu.
Ulichoandika kinathibitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu akaacha mambo yake ya msingi akajishughulisha na uchaguzi. Mimi kupiga kura ni haramu na nikipiga kura napata madhambi.

Pili, suala la mapenzi ya jinsia moja athari zake ni mbaya kuliko nyote mkiacha kujishughulisha na uchaguzi.

Tatu, inabidi ukue ujibu hoja siyo unaandika ujinga na ukameme. Kwenye umakini usiweke ujinga na kwenye jitihada usilete uzembe na kuzembea.
 
Hakuna mtu anazaliwa Gay, hizo ni tabia watu hujifunza kama KUVUTA SIGARA, KUNYWA POMBE, KUCHEZA MPIRA, KUKIMBIA, KUIBA, KUIMBA, N.K.

Kama ambavyo hakuna mtu anazaliwa mlevi, vivyo hivyo hakuna mtu anazaliwa Gay.

wapo watu wanzaliwa na abnormalities mbalimbali, kama kuwa na jinsia mbili, au kutokuwa najinsia yoyote.

Hakuna abnormality ya kumfanya mtu awe Gay.

Huo ni utashi wao.
Ahsante.

Maana yake hawa ni waharibifu na tunatakiwa kuwapiga vita, sababu athari wanazoacha katika ulimwengu ni mbaya mno.

Huku kwetu wanao fanya mapenzi ya jinsia moja tukiwakamata huwa tunawauwa na hii ndiyo stahiki yao.
 
Kama we ni mtu wa dini na ulishajipambanua wazi kua we ni mtu wa dini gani.

Imekuaje tena utuulize swali kama hilo wakati kitabu cha dini yako kinadaiwa kua hakijaacha kitu?
Sahihi kabisa hakijaacha kitu ndiyo maana kikatuambia ya kuwa "Ikiwa hamjui basi waulizeni wenye kujua".

Sasa kama una hoja leta hoja siyo unakizungumzia kitabu usichokijua wala kukisoma huwezi kisha unaleta habari za kusikia bila kuzielewa.
 
Ulichoandika kinathibitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu akaacha mambo yake ya msingi akajishughulisha na uchaguzi, nyote ni Wajinga. Mimi kupiga kura ni haramu na nikipiga kura napata madhambi.

Pili, suala la mapenzi ya jinsia mona athari zake ni mbaya kuliko nyote mkiacha kujishughulisha na uchaguzi.

Tatu, inabidi ukue ujibu hoja siyo unaandika ujinga na ukameme. Kwenye umakini usiweke ujinga na kwenye jitihada usilete uzembe na kuzembea.
Vipi kuhusu kutest mitambo mbona hujazungumzia?
 
Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kulala na mwanaume mwenzio eti mnafanya mapenzi.Tena ukawa na hisia kwelii????
 
Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kulala na mwanaume mwenzio eti mnafanya mapenzi.Tena ukawa na hisia kwelii????
Umesema kweli, ndiyo maana ukiwafikiria kwa undani watu hawa naona kabisa wanazitumia vibaya akili zao na kufata matamanio yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom