Are people born Gay ?

Are people born Gay ?

safi kwa swali lako naona kweli umependezesha kwa kumalizia na dua ya nabii musa alyhi salam alipokuwa kalala katika kisa cha kukimbia misri.na kweli dua ilr ilimpa mpaka mke.kisa kirefu niishie hapo.
ama katika hoja zako si kweli waty wanazaliwa na tarjama iliyo sahihi badae ndiotu anakengeuka kama aina nyingine tu ya maasia mtu ane anasema hebu nijaribu na huu umaaluni wa kulawitiana..
sio mtu anazaliwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimetongoza msagaji demu mkali huyo balaaa, Sema yeye kanikubali na kaniambia anapenda life style yangu. Ila nilipoomba game kaniambia yeye hafeel wanaume, ye anapenda wanawake wenzie, na mm namjua kuwa huyu demu lesbee isipokuwa nimetest mavumba yangu. Ila kaniambia yeye ananikubali sana mm na kaniahidi kesho anakuja gheto na dem mkaliii ananiletea ila sio yeye,,,, yani Wana nzengo na chatt zake ninazo hapa. Mtoto mkali balaa, mxhosa kamix na mkaroud
Sasa usituangushe piga show akiielewa ataunga 3some
 
Jana nimetongoza msagaji demu mkali huyo balaaa, Sema yeye kanikubali na kaniambia anapenda life style yangu. Ila nilipoomba game kaniambia yeye hafeel wanaume, ye anapenda wanawake wenzie, na mm namjua kuwa huyu demu lesbee isipokuwa nimetest mavumba yangu. Ila kaniambia yeye ananikubali sana mm na kaniahidi kesho anakuja gheto na dem mkaliii ananiletea ila sio yeye,,,, yani Wana nzengo na chatt zake ninazo hapa. Mtoto mkali balaa, mxhosa kamix na mkaroud
Kama vipi omba collaboration wote wakiwa geto.
 
Ulichoandika kinathibitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu akaacha mambo yake ya msingi akajishughulisha na uchaguzi, nyote ni Wajinga. Mimi kupiga kura ni haramu na nikipiga kura napata madhambi.

Pili, suala la mapenzi ya jinsia mona athari zake ni mbaya kuliko nyote mkiacha kujishughulisha na uchaguzi.

Tatu, inabidi ukue ujibu hoja siyo unaandika ujinga na ukameme. Kwenye umakini usiweke ujinga na kwenye jitihada usilete uzembe na kuzembea.
Umeanzisha Uzi alafu unajaa ghadhabu! Unapoanzisha Uzi jiandae kwa criticism.
 
Sahihi kabisa hakijaacha kitu ndiyo maana kikatuambia ya kuwa "Ikiwa hamjui basi waulizeni wenye kujua".

Sasa kama una hoja leta hoja siyo unakizungumzia kitabu usichokijua wala kukisoma huwezi kisha unaleta habari za kusikia bila kuzielewa.
Watu gani hao wenye kujua?

Mi najua mnavyosema ni kitabu kisicho na shaka hakijaacha kitu mnakua wote mmekisoma kurasa ya kwanza mpaka ya mwisho na kujihakikishia kua kila jambo limeongelewa kwa upana wake bila kuacha doubt

Sasa unaponiambia kua uwaulize wanaojua, unanipa mashaka kua hata hiyo slogan ya hicho kitabu kua hakina shaka itakua imepandikizwa tu na watu ambao nyinyi mnawa-consider kama wajuvi ili muwe deluded

Na hao unaowaita Wakubwa zako wana maoni gani juu ya hilo?
 
Ulichoandika kinathibitisha ya kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu akaacha mambo yake ya msingi akajishughulisha na uchaguzi, nyote ni Wajinga. Mimi kupiga kura ni haramu na nikipiga kura napata madhambi.

Pili, suala la mapenzi ya jinsia mona athari zake ni mbaya kuliko nyote mkiacha kujishughulisha na uchaguzi.

Tatu, inabidi ukue ujibu hoja siyo unaandika ujinga na ukameme. Kwenye umakini usiweke ujinga na kwenye jitihada usilete uzembe na kuzembea.
Kupiga kura kutakua haramu kama utaichagua CCM, vinginevyo wewe ni mzandiki na mpotoshaji unapaswa kupuuzwa
 
Watu gani hao wenye kujua?
Wale wote wenye elimu juu ya jambo fulani.

Mathalani, wewe siyo mtu wa umeme, dini yangu inakutaka uwaulize watu wa umeme juu ya jambo husika, kadhalika utabibu na fabi zibgibe, yaani tunatakiwa kuyarudisha mambo jwa wajuzi wa mambo husika siyo kujitia ujuaji.
Mi najua mnavyosema ni kitabu kisicho na shaka hakijaacha kitu mnakua wote mmekisoma kurasa ya kwanza mpaka ya mwisho na kujihakikishia kua kila jambo limeongelewa kwa upana wake bila kuacha doubt
Sasa ndiyo nimekuonyesha ya kuwa hakijaacha kitu.
Sasa unaponiambia kua uwaulize wanaojua, unanipa mashaka kua hata hiyo slogan ya hicho kitabu kua hakina shaka itakua imepandikizwa tu na watu ambao nyinyi mnawa-consider kama wajuvi ili muwe deluded
Mashaka unajipa mwenyewe, ila kitabu kimejibu kila kitu na ndiyo maana kimeitwa ni muongozo kwa watu, yaani kina waongoza watu waepukane na kukosea.

Kwahiyo kinakuongoza wewe ya kuwa kama jambo hulijui, basi ulipeleke kwa wale wanao lijua.

Sasa unapishindwa kuonyesha udhaifu wa kitabu unatakiwa ukomee hapo hapo kwani unapo endelea unazidi kukosea na unaingiza dhana kuliko uhakika, unaposema "slogan imepandikizwa" inabidi utoe ushahidi wa kuwa nani ameipandikiza.

Huwa nakukanya kila siku ukiandika jambo hakikisha una unuzi nalo.
 
Kupiga kura kutakua haramu kama utaichagua CCM, vinginevyo wewe ni mzandiki na mpotoshaji unapaswa kupuuzwa
Mfumo wa Demokrasia kwa ujumla wake ni mfumo wa kishetani na usio kuwa natija.

Sasa unapo muita mtu wa haki kwa majina yasiyo kaa kwake ni kujichimbia shimo mwenyewe.
 
Wale wote wenye elimu juu ya jambo fulani.

hilo jambo halijatolewa majibu kwenye hicho kitabu?
Mathalani, wewe siyo mtu wa umeme, dini yangu inakutaka uwaulize watu wa umeme juu ya jambo husika, kadhalika utabibu na fabi zibgibe, yaani tunatakiwa kuyarudisha mambo jwa wajuzi wa mambo husika siyo kujitia ujuaji.

kwa maana hiyo dini yako kupitia kitabu chake haina maarifa yeyote kuhusiana na umeme mpaka iwatake watu wanaotaka kuujua waende kwa wajuzi walioweza kuujua umeme bila msaada wa hicho kitabu?
Sasa ndiyo nimekuonyesha ya kuwa hakijaacha kitu.

hapana. hapo umenionesha kua sio kitabu kilicho gusa kila kitu na ndio maana mnaelekezwa kupata maarifa nje ya hicho kitabu
Mashaka unajipa mwenyewe, ila kitabu kimejibu kila kitu na ndiyo maana kimeitwa ni muongozo kwa watu, yaani kina waongoza watu waepukane na kukosea.

kitabu kuitwa muongozo wa watu sio kigezo cha kuonesha hakina shaka, ni mapendekezo ya watu tu kuitwa "muongozo" na kamwe muongozo huo hauwezi kuvuka mipaka nje ya jamii hiyo ya watu waliokipendekeza. Ni kama ilivyo katiba ya nchi ya tanzania kuwa muongozo wa nchi hii kutokuwa na authority ya kisheria katika nchi ya kenya
Kwahiyo kinakuongoza wewe ya kuwa kama jambo hulijui, basi ulipeleke kwa wale wanao lijua.

niambie chapter gani kimemuongoza founder wa jf kugungua jf?
Sasa unapishindwa kuonyesha udhaifu wa kitabu unatakiwa ukomee hapo hapo kwani unapo endelea unazidi kukosea na unaingiza dhana kuliko uhakika, unaposema "slogan imepandikizwa" inabidi utoe ushahidi wa kuwa nani ameipandikiza.

nikuoneshe mara ngapi?

unaweza kuniambia kitabu kimesema nini kuhusu uchaguzi huu wa 2020 kati ya lissu na magufuli?
Huwa nakukanya kila siku ukiandika jambo hakikisha una unuzi nalo.
jibu hoja
 
Three some,,,, ntampanga iwe hivyo mana hanipingi ila kunipa mzigo tu ndo anasema hana hisia.
When she sees your moves while you pumpin' dat "thing" and how the joy that another chick gets .

She"ll ask to share the thrill
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom