Ushauri :Nini ushauri wako Sasa kwa serikali hii isiyo sikivu kwa mujibu wa uzi wako huu mkuu....
Mkuu vijana wana kosa soko la nyanya zinaozea shambani au kuuza kwa bahati sh 200 kwa ndoo ya litre 5.Mzizi wa tatizo ni uduni wa elimu. Hilo ndilo linafanya kila kitu watu wasubiri serikali. Serikali inasubiriwa kutafuta masoko! Serikali imefanywa baba, mama na mjomba!
Kenya na Ethiopia wanauza sana maua na mazao ya bustanini Ulaya. Ni serikali inawatafutia masoko? Hapana. Mtu aliyeelimika vizuri anatumia nyenzo za mitandao kujifanyia utafiti na hata kuwasiliana na wahitaji wa mazao anayopanga kulima.
Kijana mwenye elimu pana ya kawaida akiamua kulima mbogamboga hatasubiri serikali imfundishe afanyeje. Atatumia Wikipedia na websites nyingine kujifundisha.
Kuanzia uhuru mpaka miaka ya tisini, kiasi cha bajeti ya Tanzania kwenye elimu kilishuka toka asilimia 20 hadi asilimia 4.9. Kenya kilibaki asilimia 20 na kuongezeka hadi 25.
Tuanze upya. Tuache mzaha kwenye elimu. Bila elimu hatutaweza kutatua matatizo mengine.
Tatizo hapa ni soko, wakati unahangaika hivyo kuna mikoa tikiti maji linahitajika mno. Hapa unahitaji good information na transportation facilities.Suluhisho la kilimo chetu ni processing. Kama tutaendelea kuuza mazao ghafi, kilimo hakilipi. Niliwahi kulima tikiti. Matunda yalikubali vizuri. Nikapakia fuso nikaingia nayo sokoni buguruni. Kilichotokea hskifai kuandika hapa. Mwaka jana nilivuna vitunguu magunia 700@ kg 100. Nikikuambia mapato yake utanitukana.
Tatizo hapa ni soko, wakati unahangaika hivyo kuna mikoa tikiti maji linahitajika mno. Hapa unahitaji good information na transportation facilities.
Mkuu vijana wana kosa soko la nyanya zinaozea shambani au kuuza kwa bahati sh 200 kwa ndogo ya litre 5.
Tuko hapa kubadilishana mawazo ikiwamo jinsi ya kusafirisha perishable products
Tatizo ni transportation. Ninajiuliza kama Ulaya wanaweza kula machungwa kwa miezi 12 ya mwaka, wanafahamu machungwa ya Florida ni msimu gani, ya Spain na ya South Africa.Sky, hilo ni jibu rahisi. Kwa maendeleo tuliyo nayo sasa kwenye mawasiliano, siamini kuwa wafanyabiashara kutoka mkoa fulani wanashindwa kujua kuhusu uwepo wa bidhaa kwenye eneo jingine.
Wazo lako ni zuri sana na laiti viongozi wetu wangekuwa na wazo kama hili na kulifanyia kazi kwa nguvu zote basi tungefika mbali. Tatizo tumekuwa tukipiga kelele bila action yoyote.Tatizo ni transportation. Ninajiuliza kama Ulaya wanaweza kila machungwa kwa miezi 12 ya mwaka, wanafahamu machungwa ya Florida ni msimu gani, ya Spain na ya South Africa.
Ingawa sikuhizi wengi wanapinga kuwa usafirishaji wa mazao ya biashara kwa ndege kunachangia global warming kwa kuongeza carbon dioxide.
Pears Kigoma yanahitajika lakini gharama za kusafirisha gunia la pears mpaka Kigoma hata ukuiza moja 5,000 bado hujalipia gharama.
Hivi unaanzaje kuuza mazao nje bila support ya serikali. Kwa point yako hapo juu ningehoji kazi ya serikali kwa wakulima wa ndani, mara ngapi serikali inapiga marufuku uuzwaji wa mazao nje!?.Mzizi wa tatizo ni uduni wa elimu. Hilo ndilo linafanya kila kitu watu wasubiri serikali. Serikali inasubiriwa kutafuta masoko! Serikali imefanywa baba, mama na mjomba!
Kenya na Ethiopia wanauza sana maua na mazao ya bustanini Ulaya. Ni serikali inawatafutia masoko? Hapana. Mtu aliyeelimika vizuri anatumia nyenzo za mitandao kujifanyia utafiti na hata kuwasiliana na wahitaji wa mazao anayopanga kulima.
Kijana mwenye elimu pana ya kawaida akiamua kulima mbogamboga hatasubiri serikali imfundishe afanyeje. Atatumia Wikipedia na websites nyingine kujifundisha.
Kuanzia uhuru mpaka miaka ya tisini, kiasi cha bajeti ya Tanzania kwenye elimu kilishuka toka asilimia 20 hadi asilimia 4.9. Kenya kilibaki asilimia 20 na kuongezeka hadi 25.
Tuanze upya. Tuache mzaha kwenye elimu. Bila elimu hatutaweza kutatua matatizo mengine.
Kila kiongozi anakuja na sera yake ,yuko wa kilimo kwanza ,yuko wa Viwanda. Nchi ishike lipi sasa!!
Note ili nchi iendelee vyema katika nyanja zote inatakiwa iwe na sekta imara ya kilimo ,hili halipingiki hata kidogo . Refer uingereza ilianza mapunduzi kwenye kilimo kwanza
Kuna eneo Mbeya ukiwa unaelekea tukuyu kabichi nne kubwa ni 1000 na ziko trari kwenye mfuko ,hapo jiulize mkulima anapata nini?
Kilimo kikiboreshwa kitachukua vijana wengi ambao hawana ajira huku mtaani .
Vijana wanajitahid sana kulima ,changamoto hawana ujuzi wa ku-marketing mazao yao hapo ndipo wafanya biashara wanapo waliza wakulima
Serekali ina jukumu la kuhakikisha kuna pembejeo bora kwa wakulima kwa bei nafuu ,hata ikiwezekana kwa mkopo
Serekali pia inatakiwa wakti mwingine ipange bei kwenye baadhi ya mazao kuhakikisha mkulima ananufaika vyema.
Itoe ruzuku pia kwa wakulima .
Itafute masoko ya njee na ndani ya nchi
Iwe na sera nzuri zitakazo wavutia vijana kujiingiza kwenye kilimo
Ku- technologizes vijiji vijana wakitoka shamban wakutane Twitter na JF.
Ushauri :Ushauri :
1. Kutafuta soko la ndani na nje. Jinsi tutakavyoweza kusafirisha local products national wide.
2. Jinsi ya kutoa mafunzo ya kilimo bora kwa wanaotaka kuanzisha kilimo cha biashara
3. Kuleta simple farming tools, kusema ukweli kilimo cha jembe la mkono kimepitwa na wakati.
Milion ngap mkuu serekali imetoa Kila Kijiji ?Sirikali imetoa milioni kila kijiji mmezifanyia nini?
Tuanzie hapo kwanza.
Ser mbovu sana, zinafanya mzunguko ktk kilimo na mifugo kuwa ngumu. Kama Serikali inapiga danadana ktk kuwasaidia wafugaji na wakulimaMkuu vijana wana kosa soko la nyanya zinaozea shambani au kuuza kwa bahati sh 200 kwa ndoo ya litre 5.
Tuko hapa kubadilishana mawazo ikiwamo jinsi ya kusafirisha perishable products