grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 235
- 311
vipi kuhusu kozi za diploma,wanatoa kozi za diploma ya accounting & banking finance?
Hawatoi.vipi kuhusu kozi za diploma,wanatoa kozi za diploma ya accounting & banking finance?
Huweziмм иι кιʝαиα иιℓιємαℓιzα кι∂αтσ ¢нα ииє мωαкα ʝαиα иιиα υfαυℓυ ωα 4 уα ρσιит 26 иιиα C ya geography C ya English, C ya kiswahili, afu masomo ya civics, history, bios, nina D na math F sasa nauliza naeza pata chuo cha ardhi kwa Course ya land management kweli naombeni msaaada wenu jamaaaaan
HuweziWakuu, msaada nimepiga HGL nataka nikapige bachelor of environment science and management""" O-LEVEL NIMEPASS MASOMO YA SCIENCE ILa MATHEMATICS TU# Nina f
Acha ganda la ndizi... Ardhi unajitafutia joh... soma gapJamani Naombeni msaada wa Title ya kufanyia Research Please !!!!!!! Mim nasoma course ya GEOINFORMATICS. My contact josephat09@gmail.com
mmmmmmmmh we kweli gholoHuwezi
Mkuu vip diploma ya Civil engineering kwa Mimi mwenye three ya 15 form six PCM mwaka 2016?mimi ni mhadhiri ARU hufai hata kujiunga na chuo cha ardhi Tabora ambapo tunatoa diploma. Labda kama una interest na ardhi uombe Certificate Morogoro.
Kidato cha nne mwambie aende cha tano not universityhivi mfano ukiwa na kijana kamaliza kidato cha nne na kafaulu masomo yote ya arts naweza kumleta hapo?
Zipo kozi za muda mfupi, mathalan, zile ya GIS zinaweza kumfaa kwa kuanzia.hivi mfano ukiwa na kijana kamaliza kidato cha nne na kafaulu masomo yote ya arts naweza kumleta hapo?