Ardhi University(ARU) - Special Thread

Makamu mkuu Wa chuo Wa zamani prof. Kaseva yuko wapi Kwa sasa?

Wa sasa tuu wachache wamemwona,,huyo wako nani atashugulika nae... Km umemaliz apo tafuta wenzako uwauliza,,siyo swali la msingi naona.
 
Yaluyopita sindwele afu hayawasaidii first year watarajiwa....lkn kwa sasa n prof. Idrissa mshoro na mkuu wa chuo ni Cleopa Msuya
 
wadau mm nmechaguliw must archtecture nina ECON B,GEOG B,AD/MATH C,nnataka kfanya transfer aridh kwa building economy ila cna phy ya olever,vp hpo naweza pta nafas
 
Hicho kiingereza cha hovyo hovyo wikipedea kinaiaibisha chuo. Halafu jina 'Ardhi University' halivutii kabisa. Bora hata wangeiita Makongo au Mlalakuwa University
 
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM

Naomba kujua kuhusu programme ya Bachelor of science in real estate (Finance and investment), maana siifahamu vizuri na nimechaguliwa hapo Ardhi
 
Naomba kufahamishwa kuhusu Bsc in land management and valuation :- 1 Soko la Ajira na application zake

Hii hapa
BSc in Land Management (Valuation)
Aim of the Programme4
To provide excellent and expert training in order to produce professionals who are proficient in the principles and concepts of valuation surveying within the framework of land management, in support of the Caribbean region's socioeconomic and environmental goals and objectives

Career Opportunities

Graduates enjoy employment in private practices, housing associations, construction and property management firms, real estate agencies, as well as in the public sector
 
Jaman nimechaguliwa bachelor of architecture natafta chumba na mtu wa kushare nae, msaada pliz wa mahala na bei.
Contact zang 0754612567.
 
Karibuni kupata majibu ya maswali yenu mbalimbali kuhusu Ardhi Unversity...

============================
============================



Chanzo: Wikipedia

Vp ukichelewa kufanya usajili ndani ya mda uliopangwa inakuaje?maana m had mdaa huu sijaripoti.
 
Karibuni kupata majibu ya maswali yenu mbalimbali kuhusu Ardhi Unversity...

============================
============================



Chanzo: Wikipedia
Nahitaji kuwa na kiasi gani cha fedha ili niweze kufanikisha Usajili? maana mi mpaka leo sijaja kufanya usajili
 
Jamani naombeni mnitumie sifa za muombaj kwenye vyuo vya ardhi malanyingi anatakiwa awe na sifa gani kwa ngazi ya cheti
 
Tunaomba tujibiaane kwa hekma kama tunge juwa tusinge wauliza eshima iwepo basi kwa tunao omba msaada
 
Back
Top Bottom