Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,208
- 3,609
Na hiyo ya kwangu ukiileta kwa kiswahili inasemaje mkuu?"when the body is totally or partially immersed in a fluid it experience an upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced"
Hii ndio archmedes principle
Kwa kiswahili
"Kama kitu kitazamishwa chote au kiasi ndani ya ugiligili,kitakumbana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na tungamo ya ugiligili uliomwagika"
ToughBrother vipi life after college linaendaje .??
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]"it is
impossible to know
simultaneously the exact
position and momentum of a
particle. That is, the more
exactly the position is
determined, the less known the
momentum, and vice versa."
Heisenberg uncertainty principle
Niliishika baada ya kupigwa vibao vya kutosha
Hahahahah nimekushika pabaya,nilijua tu nitapata member wa hii topic pendwa O level[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nilijua tu
Mkuu somo pekee linaloweza msaidia mwanafunzi linalofundishwa shule za Tanzania ni Mathematics tu.Mengine yote hayana msaada wowote..Newton law of motion haijakusaidia mkuu?
Hapana mkuu physics ndio kila kituMkuu somo pekee linaloweza msaidia mwanafunzi linalofundishwa shule za Tanzania ni Mathematics tu.Mengine yote hayana msaada wowote..
Yako ni inazungumzia uhusiano wa ujazo wa kitu kilichozamishwa na ujazo wa maji yatakayomwagika.Na hiyo ya kwangu ukiileta kwa kiswahili inasemaje mkuu?
Physics ni hisabati tupu humo hivyo huwezi itenga Physics na mathsHapana mkuu physics ndio kila kitu