Good morning wadau...Naweza kudownload wapi Graphisoft archicad 16 ya 32-bit online?maana nimetafta sana ninapopajua mm ila sijaipata. Architects naombeni mnisaidie kwa hili,archicad 17 pia itakuwa siyo mbaya.