Archbishop Janan Luwuum and President Idd Amin Dada

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,248
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,248 2,000
ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum (left), head of the church of Uganda from 1974, and one of the most influential leaders of the modern church in Africa, with his assassin Dictator Idi Amin, minutes before he was handed over to the firing squad and killed in kampala on 17 february, 1977. it was a common practice with Amin to invite his vip victims to his residence in Kampala before he got them shot.

1569205948113.jpeg
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
38,248
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
38,248 2,000
Halafu mtu kama Pascal anamsifia "homeboy" eti "good" president "Uganda" had ever had (sijui kama grammar ni sahihi kama alivyoitumia yeye Pascal Mayalla (to me, he should have written Tanzania has ever had)
Kisa cha kuuliwa Askofu Luwumu ni huu waraka
1569206575378.jpeg

1569206600037.jpeg

Bahati mbaya sina ukurasa wa hitimisho
 
Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,603
Points
2,000

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,603 2,000
ARCHBISHOP janani jakaliya luwum (left), head of the church of uganda from 1974, and one of the most influential leaders of the modern church in africa, with his assassin dictator idi amin, minutes before he was handed over to the firing squad and killed in kampala on 17 february, 1977. it was a common practice with amin to invite his vip victims to his residence in kampala before he got them shot.

View attachment 1213900
Histry never decay.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Halafu mtu kama Pascal anamsifia "homeboy" eti "good" president "Uganda" had ever had (sijui kama grammar ni sahihi kama alivyoitumia yeye Pascal Mayalla (to me, he should have written Tanzania has ever had)
English grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.

Kwenye uzi ule pia nimezungumzia karma, mbele ya karma, thamani ya roho ya mtu is equal regardless status yake katika jamii, hivyo pamoja na Dikiteta Iddi Amini Dada kumuua ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum, lakini unaweza usiamini kumkuta Amini ameingia peponi kama karma ya uovu wake wote uliishafidiwa kwa kutimiliwa na wema alioufanya alipokuwa anaishi Saudi Arabia hadi mauti ilipomkuta, halafu unaweza usiamini utakao kutana nao Jehanum ya moto wa milele huku wengine ndio wakifanywa kuni!.

Toka day one nimesisitiza humu kuwa ni kweli homeboy wangu ni Dikiteta ila ni Dikiteta Mzalendo, a benevolent dictator, ukimuondoa JK aliyefanya wema kama ule kwa yale majizi ya epa, hakuna rais mwingine yoyote wa Tanzania amewahi kufanya wema mkubwa kama ule wa jana!.
Kiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
P
 
Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,302
Points
2,000

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,302 2,000

Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
 
bato

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
3,112
Points
2,000

bato

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
3,112 2,000
Pascal Mayalla kutenda wema ni wajibu wa kila Mkristo si kwa ajili ya kusamehewa makosa. Toba ni wajibu kwa kila mtenda dhambi. Ukijua umetenda kosa/dhambi,tunafundishwa Unaungama/kukiri makosa kwa kujinyenyekeza kwa uliyemkosea, kwa nafsi yako(unajisamehe) na kwa Mungu. Unafanya toba kwa nafsi tatu.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
46,103
Points
2,000

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
46,103 2,000
Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
Nimekuelewa vyema Sana, mambo ya rohoni ni magumu kuliko rocket science
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Pascal, this is your wish! Nionyeshe mahali kwenye biblia ambapo inasema ukifanya mauaji/unyama and other atrocities kwa wanadamu , ukifanya mema yanafuta mabaya! Unadhani Lisu amesamehe, Ben amesamehe! Katoliki wanasema ukitaka kusamehewa rudisha ulichoiba! "umelogwa", sandarusi zote coco beach za maiti eti kuwafungulia Rugemalila na Habinder ndiyo zifute dhambi ya sandarus za maiti! "umelogwa akili" na Jiwe
Mkuu Retired, kwanza huna haja ya kutumia lugha kali na ya machukizo dhidi yangu, mambo ya kulogwa akili na jiwe yametoka wapi?.

Japo mafundisho ya karma sio ya Christianity or Muslim ni Hindu na Buddhist lakini kwa vile hizo ndizo dini mbili za kale zaidi, Christianity na Muslim ni dini za juzi, ndani ya Biblia na Quran karma haitajiwi kama karma, ila it's manifestation inazungumzwa bila kusema ndio karma.

Ukipenda naweza kukuwekea vifungu na mistari.

Kwa vile Lissu na Ben Saanane hao wote pia ni binadamu hakuna ajuaye matendo yao hivyo kilichowatokea pia inawezekana ni karma za matendo yao.

Kwa Chadema, soma tarehe ya mabandiko haya na uangalie nilisema nini kuhusu karma na wahusika wa hayo nini kimekuja kuwatokea?Unajua Zitto, Kitila na Mwigamba walishiriki kuijenga Chadema kwa machozi, jasho na damu?. Je unakijua walichofanyiwa?. Unawajua waliowatenda hawa watu Chadema kiliwakuta nini mmoja baada ya mwingine?.

P.
 
Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
19,302
Points
2,000

Retired

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
19,302 2,000
kutumia lugha kali na ya machukizo dhidi yangu
nimeweka inverted marks kuonyesha siyo ile kulogwa tunayoijua. Nilimaanisha kupenda kulikopitiliza as if mtu amekuloga kiasi huna namna ya kujinasua............maana kulogwa tunasikia kuwa unafanya siyo wewe bali ni nguvu za giza.... ambazo hatuna uwezo nazo....
 
kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
2,714
Points
2,000

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
2,714 2,000
English grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.

Kwenye uzi ule pia nimezungumzia karma, mbele ya karma, thamani ya roho ya mtu is equal regardless status yake katika jamii, hivyo pamoja na Dikiteta Iddi Amini Dada kumuua ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum, lakini unaweza usiamini kumkuta Amini ameingia peponi kama karma ya uovu wake wote uliishafidiwa kwa kutimiliwa na wema alioufanya alipokuwa anaishi Saudi Arabia hadi mauti ilipomkuta, halafu unaweza usiamini utakao kutana nao Jehanum ya moto wa milele huku wengine ndio wakifanywa kuni!.

Toka day one nimesisitiza humu kuwa ni kweli homeboy wangu ni Dikiteta ila ni Dikiteta Mzalendo, a benevolent dictator, ukimuondoa JK aliyefanya wema kama ule kwa yale majizi ya epa, hakuna rais mwingine yoyote wa Tanzania amewahi kufanya wema mkubwa kama ule wa jana!.
Kiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
P
Leo mkuu umetema pumba
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
31,416
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
31,416 2,000
Leo mkuu umetema pumba
Nadhani sio leo tuu, tangu nimejiunga jf, nimepandisha mabandiko zaidi ya 500 kwa wastani wa bandiko 1 kwa wiki kwa muda wa miaka 10, kati ya hayo mabandiko pumba zitakiwa nyingi tuu, kama hata watu kama Mzee Baba mwenyewe kuna wakati anamwaga pumba, ndio tutakuwa sisi?.
P
 
Forum statistics

Threads 1,343,529
Members 515,077
Posts 32,787,751
Top