kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,641
- 13,024
Wema gani?mayala mbona kama hujielewi,kwani sheria alitunga nan namahakama zenu na kanuni sibungelenu laccm?walishawambia kwann hamtaki kumpeleleza kwanza ndipo mkamate MTU,muwatese wenyewe ,tena urudi useme unawaonea huruma!!!!hapa ndipo tunapishana sana.... Hivi viini macho kwasasa havina nafasi.tatizo mtengeneze wenyewe harafu mtuzunguke huruma.English grammar kwa sisi wa St. Kayumba ni issue, ungiongezea tunaishi Uswazi ndio kabisa, nisamehe bure kwa my poor English ila naamini ujumbe wangu umekufikia loud and clear.
Kwenye uzi ule pia nimezungumzia karma, mbele ya karma, thamani ya roho ya mtu is equal regardless status yake katika jamii, hivyo pamoja na Dikiteta Iddi Amini Dada kumuua ARCHBISHOP Janani Jakaliya Luwum, lakini unaweza usiamini kumkuta Amini ameingia peponi kama karma ya uovu wake wote uliishafidiwa kwa kutimiliwa na wema alioufanya alipokuwa anaishi Saudi Arabia hadi mauti ilipomkuta, halafu unaweza usiamini utakao kutana nao Jehanum ya moto wa milele huku wengine ndio wakifanywa kuni!.
Toka day one nimesisitiza humu kuwa ni kweli homeboy wangu ni Dikiteta ila ni Dikiteta Mzalendo, a benevolent dictator, ukimuondoa JK aliyefanya wema kama ule kwa yale majizi ya epa, hakuna rais mwingine yoyote wa Tanzania amewahi kufanya wema mkubwa kama ule wa jana!.
Kiukweli kabisa atabarikiwa sana!. Wema kama huo na mwingine mwingi, unafuta dhambi zake nyingine zote hata kama ni yeye aliyeamrisha yale mambo yale ya kumpoteza yule dogo wetu humu au lile shambulio. Mizani ya mbinguni na peponi ni kiwango cha mema compared na mabaya, mema yakizidi tuu hata kwa nukta moja ni fasta peponi!. Wata watakuja kuwa very surprised kumkuta Osama, Saadam na Ghadafi peponi halafu Bush, Blair na Obama motoni!.
Karudie kusoma tena na tena kuhusu Karma.
P"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...www.jamiiforums.com