Nadhani bado hamjaelewa astal projections ni nini
Astral projection ni ile hali ya mtu kutengana na mwili wake kimawazo pili katika ulimwengu wa ndoto hakuna majinamizi kuna loho chafu Mara nyingi loho hizi chafu utaziona pale inapotokea vita kati ya malaika na hao loho wachafu vita hivi huwa ni vikubwa sana utakapo ona vita hiyo unatakiwa uondoke maana utakuwa na uwoga mwingi sana .utaweza kutarii katika sehemu mbalimbali ila katika vitu vyote mwanadamu ananguvu kubwa sana kuliko majini Ila mpaka kipindi utakapo jua kuzitumia kwa sababu astral sio kwenda kutarii tu kunakujifunza vitu vingi.kuhusu mtu kumwona marehem au mtu aliewahi kufa ni ngumu sana labda utumie meditation ili roho yake uiite nayo itakuja ila by using astral mpaka uwe mzoefu sana lasi hivyo hutoweza
.kuhusu swala la mtu kuja kukutikisa alafu ufe kwakweli haiwezekani labda uwe ndo siku uliyo pangiwa msiwe waoga nyie ndio wajenzi wa hii dunia ukifanikisha utajifahamu wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini.kuhusu swala LA kufanya miujiza ni ngumu labda uwe unafanya meditation kwa kutumia astral inawezekana ila usizuru watu au kuzionyesha maana nguvu hizi ni kubwa sana hazina kiwango mfano kufaham mambo yanayokuja mbeleni kubwa na speed like the flash or sonic ,macho kuwa yanatoa mwanga, mikono kuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kuwa na nguvu za kuelea angani,kupoterea (teleport), kuwa mbunifu,kuwa na uwezo wa kuponya jeraha na isibaki hata alama ndani ya sekunde moja ukiwa na nguvu majini wala wachawi hawata kusogerea nguvu ya mwisho kabisa ambayo hata ufight vipy kuipata tz ni kumfufua marehemu hii mungu anajua siri pekee hata maraika ukiwauliza watakwambia hii huruhusiwi kuifahamu maana itatumika vibaya kama baadhi ya wanadam wanaoitumia nguvu hiyo kwa kutumia majini sio jambo zuri kabisa maana kuna baadhi ya majini ambao mungu aliwapa nguvu za kuamsha wafu na hata baada ya kufukuzwa mbinguni waliachiwa nguvu hizo ingawa sio kwa kiwango kikubwa ni kwa kiwango kidogo sana na baadhi walinyang'anywa kabisa nitaendelea kuwajuza mengi zaidi ingawa kuna watu mnakata tamaa baada ya kuongopeshwa kwa maneno ya watu pia kuna wengi mlijalibu hamkufanikisha wengine mlijalibu mkahisi kiu mkameza mate kuna baadhi uzalendo uliwashinda mkajigeuza ASANTENI SANA TUTAKUTANA KWA AJIRI YA MAFUNZO ZAID