Arch Angel Michael

Wakili

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
531
Reaction score
658
The Elites who runs this system they are all under darkforces, The Rockafellas, Bush,Rothschild, CIA etc
We have to wake up realise we are the sheep, meditate, rise our vibration that we can reach to a 5D dimension which they won't have a chance no more. Wake up
 
Tupe mwanga Zaidi namna ya kufika 5D ukitoa meditation...?
Meditation is the only key, to rise vibrations and your intuition. It's where you will hear your Spirit guides and Ancestors message to you. Mambo mengine Kama vegan diet hufuata baada ya meditation.
 
Katika mambo ambayo huwa napenda niyaelewe ni haya! Lakini kwa bahati mbaya sijawahi kueleweshwa....
 
Sasa hapa ndio umetuelewesha au umezidi kutuchanganya tuuuu!!!!
 
Sisi hapa tunashangaa shangaa tu
Nliwai sikia haya mambo ukikosea hurudi[emoji38]

Ni kama vile yule aliye root simu yake akaharibu kila kitu

Nasikia unabaki kuuona mwili wako lakini huwezi ingia maana umetingishika πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ . na kwamba hakikisha umefunga milango,mtu akiingia akakutingisha ni kosa
Haya mambo ya kufikirika sidhani kama kuna anayeweza kuelezea tukamwelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…