Weeee.....Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
Hahahhaaaaaaa hawa watu vichwa vyao bado vimetengana na ufahamu kwa tukio la majuzi kati si wakuwasikiliza.Hujafafanua vizuri, yaani ameshindwa kuimudu maeneo yapi.
Yaani dakika ya 10 tu umeshskimbilia kuanzisha uzi wa malalamiko?Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
Rip kolo kwa kukosa ubingwa mara Tano.Rip utopolo. 🚮
Mara tano? Hadi Manara apost ndio ujueRip kolo kwa kukosa ubingwa mara Tano.
Rest in hell motherfuckers utopoloRip kolo kwa kukosa ubingwa mara Tano.
Matokeo yakoje wengine tumelala umri umeendaWe jamaa maumivu hayajaisha
Maumivu kwa kolo yanaendeleaMatokeo yakoje wengine tumelala umri umeenda
waletwe marefa waarabu mechi zote za YANGA!Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
Kabisa kabisa.waletwe marefa waarabu mechi zote za YANGA!
hawa marefa wa kibongo hawawezi kumudu mechi za YANGA!