Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Nenda kwenye website yao,hizo nyumba zinamilikiwa na kampuni ya kichina,wanafanya biashara ya Apartments,mbona hujiulizi Feza Schools ni ya Waturuki,wamewezaje kumiliki ardhi Tanzania?Oh
Unajua vizuri katiba ya nchi?
Raia asiye Raia wa Tanzania hawezi kumiliki ardhi Tanzania
Hao Wachina wanamiliki vipi ardhi Tanzania
Hivyo Arafat ndio point tatu zenu utoponyo lasivyo Derby haitachezwa Siyo???? Hahahaha hahahaArafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF watishie serikali anakaa anawacheka tu
Arafat Haji anashinda pale Kizimkazi anakula kiyoyozi uje umtishie na hao akina Karia na Kabudi
Arafat Alitoka kauli 1 baada ya Derby kuhairishwa Kwa HATUCHEZI
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wanahaha kila siku vikao, Leo walikuwa na professor wa jalalani Bado Arafat Haji alivofika akakataa
TFF wamemuomba Eng Hersi lakini akawajibu huyu Mzanzibar ashakataa yaani hataki kusikia habari za kurudia derby
Eng Hersi Said amemuomba Arafat Haji alegeze msimamo ila Arafat Haji amegoma na anasema HATUCHEZI
Arafat Haji ndo Mzanzibar wa kweli akisema NO harusi nyuma
Moto unawaka na Karia alivojibu pumba, Sasa ndo akaongeza petrol kwenye kifuu
Heko! Kwako Arafat Haji, kiongozi mahiri kutoka Zanzibar
Unaifia Yanga ukweli
HATUCHEZI
Yanga bingwa
Vihoja na viroja haviishi Tanzania yangu!Yaani kwamba Arafat ndo mwenye kauli ya mwisho pale Yanga?
So Hersi ndo anamuomba Arafat?
Just a msisitizo.Sasa kama hamchezi mnalilia Nini kila siku mnasema hamchezi 😂
Hawana ubavu huo. Kwanza hao viongozi wa wakati huo watakua wanajielewa, sio kama hawa wa sasa ambao mwaka huu hawatoboi kwenye hizo nafasi zao.Msimu ujao sisi TFF tunakuja na klabu ambayo haimiliki uwanja wa mazoezi hakuna kucheza ligi. Anzeni kuboresha pale kaunda ,aah.
Hutabiriki au uzwazwa kama walivyo Wana utopolo wengiMe sitabiriki dogo
Usitupoteze kizembe,sema viongozi wetu wote vyuma akiwemo hersi.Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF watishie serikali anakaa anawacheka tu
Arafat Haji anashinda pale Kizimkazi anakula kiyoyozi uje umtishie na hao akina Karia na Kabudi
Arafat Alitoka kauli 1 baada ya Derby kuhairishwa Kwa HATUCHEZI
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wanahaha kila siku vikao, Leo walikuwa na professor wa jalalani Bado Arafat Haji alivofika akakataa
TFF wamemuomba Eng Hersi lakini akawajibu huyu Mzanzibar ashakataa yaani hataki kusikia habari za kurudia derby
Eng Hersi Said amemuomba Arafat Haji alegeze msimamo ila Arafat Haji amegoma na anasema HATUCHEZI
Arafat Haji ndo Mzanzibar wa kweli akisema NO harusi nyuma
Moto unawaka na Karia alivojibu pumba, Sasa ndo akaongeza petrol kwenye kifuu
Heko! Kwako Arafat Haji, kiongozi mahiri kutoka Zanzibar
Unaifia Yanga ukweli
HATUCHEZI
Yanga bingwa
HATUCHEZIIIISasa kama hamchezi mnalilia Nini kila siku mnasema hamchezi 😂
Hawa hawana lolote ni kelele tu kama kutocheza wameshatoa matamko laki wapige kmya then taerehe ipangwe nao wasitokeeSasa kama hamchezi mnalilia Nini kila siku mnasema hamchezi [emoji23]
Uyo chawa kawa chuma tokea lini,maisha yake anategemea teuzi za serikali ili aish aigomee serikali,Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF watishie serikali anakaa anawacheka tu
Arafat Haji anashinda pale Kizimkazi anakula kiyoyozi uje umtishie na hao akina Karia na Kabudi
Arafat Alitoka kauli 1 baada ya Derby kuhairishwa Kwa HATUCHEZI
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wanahaha kila siku vikao, Leo walikuwa na professor wa jalalani Bado Arafat Haji alivofika akakataa
TFF wamemuomba Eng Hersi lakini akawajibu huyu Mzanzibar ashakataa yaani hataki kusikia habari za kurudia derby
Eng Hersi Said amemuomba Arafat Haji alegeze msimamo ila Arafat Haji amegoma na anasema HATUCHEZI
Arafat Haji ndo Mzanzibar wa kweli akisema NO harusi nyuma
Moto unawaka na Karia alivojibu pumba, Sasa ndo akaongeza petrol kwenye kifuu
Heko! Kwako Arafat Haji, kiongozi mahiri kutoka Zanzibar
Unaifia Yanga ukweli
HATUCHEZI
Yanga bingwa
Ni lini TFF na bodi ya ligi waliwahi kubali hayo mambo ya hovyo ya Yanga au timu zingine? Yanga na timu zingine wamemewajibishwa kwa kupigwa faini mara ngapi kutokana na kukiuka kanuni? Kwanini wao wanapovuruga kanuni wasiwajibike wanajificha kwenye kichaka cha busara na serikali?Sema huu msimamo wenu ni mzuri sana, mkiwemo na nyinyi pia itawabadilisha kufanya mambo kiprofessional zaidi kama vile kuacha kupita geti lisilo rasmi ,kukubali logo ya mdhamini kama ilivyo, sababu TFF hapo walipo wana hasira na nyinyi kwa hiyo hawatakubali mambo yenu ya hovyo mnayofanya(ga).
Akili za wamasimba hizi. Hicho kikao ni cha kutoa points tatu? Hujui nani kikanuni anapaswa kutoa points tatu?Vp muafaka umekuwaje mmepewa pointi 3 au
Anayepaswa kikanuni kutoa points 3 ameshawajibu kwenye barua yenu kuwa hilo haliwezekani kwa sababu hamna uhalali wa kikanuni wa kupewa hizo points 3.Suluhisho ni kwenda CAS,sasa nyie badala ya kusubiri barua ya maamuzi,kila siku mnatupugia kelele za "hatuchezi"Akili za wamasimba hizi. Hicho kikao ni cha kutoa points tatu? Hujui nani kikanuni anapaswa kutoa points tatu?
Kuna staha chief, naweza kuwa mzee wako. Usikariri kuwa kila mtu ni mtoto na hakuna tusi lilitukanwa hapo.Watoto mnatukana wazee wenu sikuhizi
Una maana kwa vile Arafat anashinda Kizimkazi kwa Rais wa JMT basi Rais ataibeba Yanga katika hili sakata mlilolianzisha wenyewe, tutaona.Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans