Arafat Haji mtu chuma kweli kweli

Uwajibikani ni kitu ma dictator hawakitaki wala hawataman kukitamka, Karia angevunja ile bodi na kamati zake za remote hii derby ingepigwa bila shida
 
Watoto mliosoma vyuo kariba ya Amazon College mna taabu sana, yaani unamlinganisha Prof Kabudi ambaye ni nguli wa sheria za katiba nchini na mwaka 2011 wakati UDSM inatimiza miaka 50 alitunikiwa tuzo kama mwanafunzi bora wa muda wote kwa kutwaa tuzo ya Outstanding GPA kwa kumiliki GPA ya 4.9,unamlinganisha na huyo shombe,angekuwa na connection kali si angeteuliwa mbunge kisha Waziri kama alivyofanyiwa Kabudi? Kuhusu connection kwenye mambo ya mpira Karia ni habari nyingine,yeye kunywa chai na Infantino ni kitu cha kawaida.Ndio maana rais wako ameungana na wengine kutaka apite bila kipingwa
 

Attachments

  • Screenshot_20250327-191352.png
    1.1 MB · Views: 21
Professor wa jalalani nae ni mtu wa kutambia
Ubunge na uwaziri Kuna watu wanavikataa hivo vyeo
 
Yaani wabongo nyie ni wapumbavu na wajinga sana aisee! Huu upumbavu wenu wa simba na yanga hauwezi kuukuta katika derby Liverpool na Manchester United au real Madrid na Barcelona huu upumbavu upo Afrika tu hususani Tanzania. Kenge nyie na usimba wenu na uyanga wenu
 
Deni la Taifa limefika trillion 97.35
We mwenye akili Kaokoe jahazi
 
Naunga mkono. Kuna upumbavu mwingi sana kwenye hivi vilabu viwili, bahati mbaya pia wanasiasa wanachangia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…