Arachuga ni nini?

Arachuga ni nini?

makubwa! mpaka Kipipi ana delete post!
 
Last edited by a moderator:
wee jilipue tu uwaeleze manake kwa kihaya.

heheh.....unataka wenye jiji lao, kina Erick wanitumbue nyongo eeh?? But hata hivyo ni tusi kama KOKUTONA alivyosema, watanyambulisha wenyewe wapate jibu! Alafu we Bishanga......kwani we huwezi kusema?
 
Last edited by a moderator:
heheh.....unataka wenye jiji lao, kina Erick wanitumbue nyongo eeh?? But hata hivyo ni tusi kama KOKUTONA alivyosema, watanyambulisha wenyewe wapate jibu! Alafu we Bishanga......kwani we huwezi kusema?

mimi nakuogopa wewe na Kokutona,lol,nianzeje kutafasiri na uzee huu?
 
heheh.....unataka wenye jiji lao, kina Erick wanitumbue nyongo eeh?? But hata hivyo ni tusi kama KOKUTONA alivyosema, watanyambulisha wenyewe wapate jibu! Alafu we Bishanga......kwani we huwezi kusema?

Mimi mwenywe nimemshangaa, ameng"angania Kipipi na KOKUTONA Lol
 
Back
Top Bottom