Arachuga ni nini?

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Wakuu heshima zenu. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni member ninayependa kujifunza kwa hiyo naomba yeyote mwenye kujua anieleze nini maana ya neno "arachuga" maana nimekua nikiona likitumika mara kwa mara humu jf.

Asanteni, nawasilisha.
 
Hivi Arusha ni jiji? Si niliambiwa walinyang'anywa iyo status hadi warekebishe vigezo fulani?
 
Wengine wanasema ni joka, wengine ni mboga, wengine ni mji wa Arusha so which is which? Endeleeni kufunguka wadau huenda hili neno likawa na maana zaidi ya moja.
 
Ar-Chuga ni wale mateja wa Arusha, Ukitembea pale kilege lege utaipata fresh. By the way nahisi Lema wa CHADEMA anaijua vizuri hii. Nadeclare interest mie ni Member wa CHADEMA Msinishambulie Lol
 
Back
Top Bottom