.............Arabela utendeee haki Moyo wako.........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
..........HabARI ZENU WANAJAMVI....???


..................Nachukua fursa hii kukuomba ili kuepusha mijadala na watu ambao mwisho wa siku nitawafanyia operation za lazima ni vizuri ukaamua wewe mwenyewe kuutendea haki moyo wako.

Shughuli zangu zinanifanya nipotee sana hata si kidogo,kama zitakuwa ni chanzo cha wewe kukosa furaha katika ndoa,uwe mkweli kwa hilo na amua unaloona lina wezekana kukupa furaha na Amani ya moyo wako.

Ukiamua mwenyewe sitakuwa na tatizo ila kama utadanganywa basi nitafanya kisasi na kwa yyt utakae kuwa nae......
.........sina mengi zaidi ya hayo.

..............THE STRONG IS ONLY FOR THE FITEST........
 
Umesahau kuwa mwanamke ni kama tarumbeta ukipulizapuliza unamuachia mwenzako? Using'ang'anie sana ukipendacho na mwenzako anakiwazia.
 
mbona unatutishia ?kwanza mahali yenyewe uliungaunga afu leo wasema hivyo ngoja nikae na dada yangu Arabela usimtishe ujue hakuja kula hapo hata kwetu alikuwa nakula
 
Last edited by a moderator:
mbona unatutishia ?kwanza mahali yenyewe uliungaunga afu leo wasema hivyo ngoja nikae na dada yangu Arabela usimtishe ujue hakuja kula hapo hata kwetu alikuwa nakula

sikuoa wewe na dada yako.....unadai mahali kwani ulikuwa na bidhaa ya kuuza,huo ni ushauri wangu kwa kipenzi changu Arabela....sasa naona na wewe unataka nikuweke kwenye blue list yangu....
 
Last edited by a moderator:
Shemu mi ningeona vema mkae myazungumze na my mdogo wangu Arabela kuliko kuja kumuanika humu. Unamaffect kisaikolojia.
 
Last edited by a moderator:
Waione:
Arushaone, Filipo Kaizer Mzee wa Rula, Erickb52 , watu8 na wengine waliokwishawekeza kwa Arabela mtaji wa duka la simu za Tecno pale Majani-Mapana.

Kwakuwa na mimi ni mmojawapo, maana ndiye niliyekarabati kile chumba, nawaomba wanaume wenzangu shime tuungane tumsakizie
zubedayo_mchuzi ili APIGWE TU na vijana wa Pinda!
 
Last edited by a moderator:
sikuoa wewe na dada yako.....unadai mahali kwani ulikuwa na bidhaa ya kuuza,huo ni ushauri wangu kwa kipenzi changu Arabela....sasa naona na wewe unataka nikuweke kwenye blue list yangu....
tena ujue mie sikuogopi!!! kama vipi tangaza mpambano ijumaa ijayo tukutane jublee kwa mpambano tena kiingilio iwe bure.
 
Erickb52 nipe ushauri kuhusu huyu shemeji baunsa
 
Last edited by a moderator:
tena ujue mie sikuogopi!!! kama vipi tangaza mpambano ijumaa ijayo tukutane jublee kwa mpambano tena kiingilio iwe bure.

my kaka utaumizwa and your sister ntashindwa kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…