Aptitude test TCB

Aptitude test TCB

Hiyo Interview ilishafanyika, tulitumiwa email and sms kuwa notified kwa ajili ya interview.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbona wengi wanasema hawajaona hizo msg? Au wameita kwa awamu? Wengine watajulishwa baadae?

Mi binafsi nilikuwa ni wale watu tuliofanya jioni ile na wale nilioingia nao wanasema hawajapata msg yoyote, labda itakuwa wameanza na kundi lililoingia ile asbh.

Wacha tuendelee kusubiria labda nasie tutafikiwa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Utafikiwa lini watu wapo makazini tayari
 
Mbona wengi wanasema hawajaona hizo msg? Au wameita kwa awamu? Wengine watajulishwa baadae?

Mi binafsi nilikuwa ni wale watu tuliofanya jioni ile na wale nilioingia nao wanasema hawajapata msg yoyote, labda itakuwa wameanza na kundi lililoingia ile asbh.

Wacha tuendelee kusubiria labda nasie tutafikiwa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Do not waste your time waiting imeshaisha iyo the strong survive and the weak disappear
 
Relax subiri tu mtatumiwa au inaweza ikawa ndo meshapita maana nahisi watakuwa teyari wameshamaliza kumark kwa hyo asaivi wanatoa majibu taratibu itawafikia kuwa na subira
 
Wakuu hawa jamaa wanania gani yaan wanafanya watu wajihis kua walienda kupoteza muda pale na lile jua sasa alaf mtu huambiwi umepataje...

Kwanza yale maswali sio yakufanya kwa 1hrs hata kama ni genius kiasi gani utafikiri wao walifanyaga hivi
Yaani tunachoshana tu kisa ajira
 
Watu washakula na salary ndiyo unauliza leo
 
Mkuu aptitude test ndo zilivo zinapima uelewa na uvumilivu wako na Mara utakuta ziko out of your area of specialization ziko general sana
 
Back
Top Bottom