Aptitude test TCB

Aptitude test TCB

Ungekuwepo pale ungefaulu mtihani wote, watu wametoka wakawa wanatoa majibu ya maswali.

Jamaa hawawezi kufanya ishu ya interview. Too many unnecessary procedures. Watu wamekalishwa juani masaa.

Nilkuepo na mtihani nilifnya intake ya pili... na ckupata mtu wa kutoa hayo majibu mimi...
 
jamani mlioenda kwenye oral mlikuwa wangapi ili tupate experience kwaajili ya kesho tafadhali
 
jamani mlioenda kwenye oral mlikuwa wangapi ili tupate experience kwaajili ya kesho tafadhali
Kuna mshikaji aliitwa huko, walikua kama 30 hivi kwa position ya operations officer. Interview haikuzidi dakika 10 na ipo straight forward. Wameambiwa majibu ni baada ya wiki mbili hivi.
 
Jamani mi mbona sijaambiwa chochote au ndio nimemwagwa kinyakimya, ila tcb sijawazoea hivi hata kama umefeli Huwa wanatumia msg kukujulisha hii mbona inanipa mashaka kidogo au ndio tulioingia ile jioni makaratasi yetu waliyachana sikuile Bila ya kusahisha

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Yale majibu washatoa tayar?? Ile bank ni nomaa full connection
 
Back
Top Bottom