Aptitude test pccb based on accounting proffesionals

Joined
Dec 12, 2012
Posts
69
Reaction score
14
Asalaaaaaaam wana JF, kwa anaye faham kuhusu aptitude test za pccb hasa zina base kwenye vitu gani kwa kada ya account ili kufanya maandalizi vema.Pls kwa anaye fahamu atoe hata Hints hapa, kama ataona haifai kutoa hapa basi ani PM.Kama unafahamu basi tafadhali toa hapa kwani hata maandiko ya Mungu yanasema atoaye hupata,asiye toa hukosa hata kile kidogo alichonacho.TOA UPATE ZAIDI.
 
naona unawatisha kwa maandiko ya MUngu kama wanavyofanyaga baazi ya wachungaji na Masheikh.
 
Fanya revision kuanzia accounting cycle na kuendelea ..very basic questions no need to worry..taxation..government accounting .
 
Back
Top Bottom