Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Nililala nyumba ndogo, nimerudi nyumbani moja asubuhi, Nikamkuta wife kajawa na hasira , Nikajua ndoa yangu umefikia mwisho, Nikaamua kuongea ukweli (NILILALA KWA MCHEPUKO MKE WANGU) Kacheka saaana... alafu akaniambia , Wewe acha kunidanganya, unadhani mimi mjinga? Unajua sijui kuwa leo ni siku ya WAJINGA Duniani? Nikamrukukia na bonge la busu, Wanawake akili zao wanazijua wenyewe