android contact zinatunzwa na account yako ya google kama simu itaibiwa then ukinunua mpya ukieka account ile ile ya google contacts zinarudi.
kama still unataka apps nenda store search contacts backup cloud kuna app itakuja ina kama mawingu ya light blue kwenye icon.
kuhusu kusave media na document zako download app yoyote kati ya hizi
-google drive
-onedrive
-dropbox
kama media na document zako ni sensitive narecomend hio onedrive
Habari za leo waheshimiwa! Natumaini kuwa ni wazima wa afya. Samahani sana mimi naomba kujuzwa kama kuna apps ambazo unaweza kuweka kwenye simu (android) zikawa na uwezo wa kutunza kumbukumbu kama;
*Picha
*video
*music
*document, n.k
vitu vyote hvyo vikakaa ndani ya hiyo app bila memory card kuongezeka ujazo wowote ule. Au kama itaongezeka iwe kidogo.
Pili na app nzuri ambayo unatunza namba za simu hata ikitokea umeibiwa simu unapakua tena app yako na unayakuta hizo namba zako za simu.
Ahsanteni sana, naamini mtanisaidia waheshimiwa!..
android contact zinatunzwa na account yako ya google kama simu itaibiwa then ukinunua mpya ukieka account ile ile ya google contacts zinarudi.
kama still unataka apps nenda store search contacts backup cloud kuna app itakuja ina kama mawingu ya light blue kwenye icon.
kuhusu kusave media na document zako download app yoyote kati ya hizi
-google drive
-onedrive
-dropbox
kama media na document zako ni sensitive narecomend hio onedrive
Na mimi nauliza kuna app inayotunza sms hata nikipoteza simu sms zinakuwepo
android contact zinatunzwa na account yako ya google kama simu itaibiwa then ukinunua mpya ukieka account ile ile ya google contacts zinarudi.
kama still unataka apps nenda store search contacts backup cloud kuna app itakuja ina kama mawingu ya light blue kwenye icon.
kuhusu kusave media na document zako download app yoyote kati ya hizi
-google drive
-onedrive
-dropbox
kama media na document zako ni sensitive narecomend hio onedrive
nafanyaje ili kuhakikisha contacts zangu zinakuwa copied kwenye Google akaunt yangu?
hakikisha kila ukisave contact uwe unaisave kwenye google account kama hii pic inavyoonyesha