Apps za Tanzania zenye Installs 1M+

Apps za Tanzania zenye Installs 1M+

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
200
Reaction score
333
Nilikuwa naangalia Apps za watanzania ambazo zina Install Milioni 1 au zaidi..kwenye Play Store
Nimezipata 2 tu

1. Millard Ayo
2. Kupatana

Nataka kujua kama kuna nyingine, unaweza ukaiweka hapa kwenye comments.

Lengo: Ni kujifunza kutoka kwao, wanafanya nini ili kufika huko,maana Apps nyingi za Bongo zinacheza kwenye 10k hadi 200k installs
 
Kipindi revolution ya blogs inatokea kwa hapa TZ, blogger wengi walikuwa waongo wanakuwekea heading nyingine na habari nyingine, Millard yeye, Millard yeye alikuwa mkweli habari zake zilikuwa za kweli ikamsaidia kujijengea uaminifu kwa watumiaji wa mitandao na hiyo imemsaidia hata channel yake ya YouTube kutikisha views B 1+, habari yake ni uhakika.
Kwa case ya kupatikana App, Mimi nishawahi nunua simu na nishawahi kuuza laptop bila kulipia chochote
 
Muungwana Blog, ITV Tanzania, Mdundo (sijui ni Halotel hawa?), Tigopesa.
Mkuu samahani sana,window 10 inanimalizia sana bundle langu kupitia automatic updates.Ni kwa jinsi gani ninaweza kuzuia hii autimatic update isifanyike?
 
Mkuu samahani sana,window 10 inanimalizia sana bundle langu kupitia automatic updates.Ni kwa jinsi gani ninaweza kuzuia hii autimatic update isifanyike?
Seti network yako kama metered connection, haitatumika kwenye updates. Kuipata hio options utaenda setting kisha network kisha tafuta jina lake kisha eka on hio metered connection
 
Nilikuwa naangalia Apps za watanzania ambazo zina Install Milioni 1 au zaidi..kwenye Play Store
Nimezipata 2 tu

1. Millard Ayo
2. Kupatana

Nataka kujua kama kuna nyingine, unaweza ukaiweka hapa kwenye comments.

Lengo: Ni kujifunza kutoka kwao, wanafanya nini ili kufika huko,maana Apps nyingi za Bongo zinacheza kwenye 10k hadi 200k installs

App ya millard ayo kajaza ma vidio sana maelezo ya maandishi ziro .hana kera kwa kweli kichwa cha habari alafu ingia link ya video.ili hapate viwer youtube
 
Seti network yako kama metered connection, haitatumika kwenye updates. Kuipata hio options utaenda setting kisha network kisha tafuta jina lake kisha eka on hio metered connection
Shukrani mkuu,ubarikiwe sana
 
Nilikuwa naangalia Apps za watanzania ambazo zina Install Milioni 1 au zaidi..kwenye Play Store
Nimezipata 2 tu

1. Millard Ayo
2. Kupatana

Nataka kujua kama kuna nyingine, unaweza ukaiweka hapa kwenye comments.

Lengo: Ni kujifunza kutoka kwao, wanafanya nini ili kufika huko,maana Apps nyingi za Bongo zinacheza kwenye 10k hadi 200k installs
Kwani hujuwi kuwa watanzania wanapenda sana umbea na ujinga, yaani mtaani siku hizi tunaitwa wafuasi wa Trump. Wewe fungua website yako na uweke habari za nchi na dunia pamoja na matukio ya hapa na pale muhimu kwa wananchi alafu mimi nifungue mtandao niwe nabandika tu ujinga wa wasanii wetu uchwara, na msanii gani kaliwa denda ama nani anashikishwa ukuta, na kushinda mtandaoni kutafuta habari za wasanii wa Marekani wasio hata na ishu utaona wananchi wanakwenda wapi kwa wingi.
 
Mkjuu katika hii dunia ya utandawazi yaani unashindwa hata kuhisomea ili ujuwe, unataka watu wakufundishe? Hujuwi kuna online dictionaries za Kiswahili, aisee unatia kinyaa mkuu. Wewe Magufuli akikuona, haki ya Mungu atakukamata akakufunge.
Magufuli huyuhuyu ambae ameifanya SADC kuwa ya hovyo hadi magaidi wa ISIS wanatamalaki au unamzungumzia Magufuli yupi?
 
Back
Top Bottom