Apps za mawasiliano kwenye smartphones

Apps za mawasiliano kwenye smartphones

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Je unajua kwamba kuna apps nyingine za mawasiliano zaidi ya whatsapp? Hzi hapa chini ni baadhi tu ya apps zinazopatikana mtandaoni.

1.
Telegram

Kwa simu za android, iphone na hata windows. Hii inafanya kazi kama whatsapp, ila mpaka sasa ni bure. Tofauti yake na whatsapp ni kuwa huwezi kurekodi ujumbe na wa maneno na kuutuma. Uzuri wake ni kwamba ni nyepesi na ujumbe uliotumwa hufika haraka sana.

2.
Line

Hii app ni nzuri sana kwa vile unaweza kupiga simu bure na usikivu wake ni mzuri, haukatikikatiki kama
Viber.

3.
Viber

Unaweza kutuma sms, picha n.k. na pia kupiga simu za bure.

4.
Hike

Hii ni app nyingine ya kutuma ujumbe mfupi, picha, video n.k. Ni app nyepesi na ujumbe hufika haraka sana.

Apps zote hizo ni nzuri na unaweza kutumia kutokana na upendeleo wako.
 
Je unajua kwamba kuna apps nyingine za mawasiliano zaidi ya whatsapp? Hzi hapa chini ni baadhi tu ya apps zinazopatikana mtandaoni.

1.
Telegram

Kwa simu za android, iphone na hata windows. Hii inafanya kazi kama whatsapp, ila mpaka sasa ni bure. Tofauti yake na whatsapp ni kuwa huwezi kurekodi ujumbe na wa maneno na kuutuma. Uzuri wake ni kwamba ni nyepesi na ujumbe uliotumwa hufika haraka sana.

2.
Line

Hii app ni nzuri sana kwa vile unaweza kupiga simu bure na usikivu wake ni mzuri, haukatikikatiki kama
Viber.

3.
Viber

Unaweza kutuma sms, picha n.k. na pia kupiga simu za bure.

4.
Hike

Hii ni app nyingine ya kutuma ujumbe mfupi, picha, video n.k. Ni app nyepesi na ujumbe hufika haraka sana.

pp zote hizo ni nzuri na unaweza kutumia kutokana na upendeleo wako.

Umesahau pia kuna.
1. Badoo
2. WeChat
3. Kick
 
Back
Top Bottom