Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tanzania.
Watu mnajazana maujinga na mauongo. Kila mara mimi napokea pesa paypal (Ila paypal yangu iko registred kenya maana tz paypal haipokea pesa toka miaka hiyooo) na world remit na sendwave kama kawaida tena kwenye simu.