Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,829
- 5,269
Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu.
Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone.
1. Stremio - Hii kwaajili ya movies, Tv channels, una download add-ons kwaajili ya kuStream.
2. Criscfy - Hii kwaajili ya michezo (live matches zote) hii inafahamika zaidi.
3. Ministream - Hii ni kwaajili ya kuangalia channels zote za Azam Tv na Dstv.
Screenshots:
Stremio.
Cricfy
Ministream