Zipo je unakifua?Wakuu naombeni kunifahamisha jambo hili,
nahitaji kufahamu mwenye kujua application maalumu inayofanya kazi iyo kutrace meseji na miito pia upande wa whatsap kwa uhakika.
Narejeesha shukrani kwenu.
utakufa bure, achana naeWakuu naombeni kunifahamisha jambo hili,
nahitaji kufahamu mwenye kujua application maalumu inayofanya kazi iyo kutrace meseji na miito pia upande wa whatsap kwa uhakika.
Narejeesha shukrani kwenu.
Hii inafanya nn?Mobile free track
Hata hii kuna subscription ya kulipia na free... Your choiceHii ni bure?
Mana bure si itakua limited,nataka ambayo yakulipia (premium) kwa mwezi.