Apps ipi itanasaidia kwa nokia C3 00?

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
230
Wakuu napenda kutambua mchango wenu kwa wanajamvi.
Binafsi naomba nisaidiwe jinsi ya kufungua pdf files kwa ku2mia nokia C3 00. Ntashukuru kwa mchango wenu.
 
download s40 reader ndo size ya simu yako katakusaidia kufungua pdf files ingawa kamekaa kilocal sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom