ama kweli nyumbani ni nyumbani, manzi namba nane wakali,,, in fact hata watoto wao huwa wana afya sasa ukitaka wa kuoa si umpate huyu wa namba nane maana ata watoto wangu watakua na afya wengine wanajali afya zao wako obsesed na wembamba au unene ulozidi wana matatizo mengingi, yaani body mass index haiendani nao ikiwa juu matatizo mingi kwanza watoto hawana afya, sio woote matatizo ya pressure kisukari, physical problems ata mambo flani kwe 6/6 ukiwa mwembamba saana nayo shida unapata shida hata wakati wa kujifungua mh kitoto chaweza athirika na kujinyima kwako ila kama wewe ni mwembamba naturala angalau ila mambo ya sita kwa sita pia dah raha ya penzi nipate joto lako sasa wewe unapwaya kama nguo ya kuazima