Habari saizi ndugu zangu
Nina ndugu yangu kasoma PCB akapata dv2 ya points 12 BIOS C CHEM D NA PHYS E
Mnamshauri aaply coz zipi coz first round & second round zote ameachwa
Ameachwa kozi zipi apply?.......kama anaamini kufanikiwa kupitia elimu asome alichokosa kwenye ngazi ya diploma,ila kama anaamini kufanikiwa kupitia exposure,asome degree yeyote ya chuo kikuu

Kama ungekuja kutafuta ushauri hapa kabla hajatemwa hizo round zote sidhani kama angeheheheehhangaika hivyo!! Vijana wa siku hizi wanajifanya kujua mambo na kufanya maamuzi wenyewe bila kushirikisha wakubwa au wazoefu waliowatangulia....hebu tutupie programme alizotemwa first round na second round na alikuwa ameapply vyuo gani