Application zinazokuja na simu(fixed)

Application zinazokuja na simu(fixed)

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,385
Reaction score
642
Habari zenu wana jukwaa hili pendwa!

Ndugu zangu nina hamu ya kujua au kupata msaada toka kwenu kuhusu haya nimekuwa sina ufahamu nayo juu ya huduma fulanifulani zinazokuja na simu zetu hizi za kisasa (smartphones).

Kuna apps unapofungua tu akaunti ama ya google(android) au microsoft(wp) basi zinakuomba updates.
Nimejaribu kuangalia kuna baadhi tangu nimemnunua simu sizijui matumizi yake au zinafanyakazi kimfumo pasipo mimi kujua.

Msaada wangu kwenu ni kwamba kwa hizi ambazo sintazitumia nisipo zi-update nini madhara au faida ya simu yangu?

Applications ambazo mimi situmii kwenye simu yangu lakini mara kwa mara zinaomba updates;-

1. AllShare Cast Dongle S/W updates
2. Amazon Kindle
3. GROUP PLAY
4. Hangouts
5. HP Print Service Plugin
6. IMD Movies & TV
7. NFL mobile
8. Samsung Link
9. Samsung Print Service Plugin
10. Samsung Watch on (on TV)
11.Share Music for Group Play
12. TripAdvisor
13. Blurb Checkout
14. Samsung Push Service

Kwa uchache ni hizo naomba kuwasilisha!
 
zinaitwa bloatware izo, kuziondoa unahitaji kuroot android yako, kisha unaweza kuziondoa manually, au unaweza kuweka custom rom ambazo hazina bloatware. Kwa wp uninstall tu kama izo tripadvisor hazina tatizo
 
Asante mkuu! Umetaja moja ambayo haina madhara zingine niki-uninstall vipi kuna tatizo?
 
kwenye simu ya windows hauwezi ku uninstall app zenye madhara, maana wamedisable iyo feature, kwenye android ukiroot unaweza kuondoa au kureplace system files ambayo ni risk kama wewe sio mjuzi wa mambo
 
Back
Top Bottom